Forrest Gump
JF-Expert Member
- Jul 2, 2021
- 797
- 2,314
Kwanza tambua hauko peke yako na wewe sio baba yake.
Then jua namna ya kucheza na saikolojia na sio hisia zake
Hii ndio njia ya kufaidi MAKEBO bila ya kugharamika sana.
Akikuomba pesa mpatie 10,000 leo, then mwambie "ila bebi navyokuona na shepu yako hio nikikufungulia duka la nguo utauza sana maana wewe mwenyewe utakuwa unatangaza mitandaoni"
Atafurahi sana, alafu kesho omba mzigo, unapewa buree kabisa , ila usimuombe siku hio hio.
Alafu tena akikuomba pesa mtumie 5000, umwambie "unajua nimeanza ku-save pesa kwa ajili ya ile duka, kwa hio naibana bana sana ili tufanikishe , chukua 5000 ya vocha hio"
Atafurahia sana maana anajua yupo kwenye mipango yake alafu kesho omba mzigo.
Siku nyingine tumia AI kutafuta plan ya duka umtumie alafu uumuulize na nguo zinazotoka afuatalie, kesho kutwa omba mzigo, huyo anaingiamo.
Ishu ni kuwa umchape sio zaidi mata tano maana ataanza kushtuka, tumia hii njia then tafuta mwingine.
UCHUMI NI MGUMU KWA KILA MTU
secretarybird
Financial Analyst
Chizi Maarifa