secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Huyo bibie Seran ni nke wa ntu bwashee. Na mtu mwenyewe ndo Mimi 😎Issue nini jomba
Huyo bibie Seran ni nke wa ntu bwashee. Na mtu mwenyewe ndo Mimi 😎Issue nini jomba
Huyo dogo nimemuwekea trap ukimuona hana miguu ujue tayari kanasa😆Mimi namjua secretarybird
Waambie beib🥲
Eli Cohen kaka na ujajnja wako wa israel na uyahudi kumbe unachapiwa na vijana wawili JF😁😁, chukua mallerina kwanza ana makebo makubwa😋Mimi namjua secretarybird
dahWaambie beib🥲
Mnuno huo 😂
Ulipoteleaga wapi?Inabidi kuwe na kadi kama nida kuthibitisha huyu kiumbe unayemuona ni XX.
COME LORD JESUS! 😩
Hamna kutulia mpaka kichwa kiwake moto Leo...Hahaha nimebaki na maswali mengi sana kichwani 😁
View attachment 3655320
😁😁
Ngoja nikalewe tu kudadeki labda naweza kupata akili mpya 😁Hamna kutulia mpaka kichwa kiwake moto Leo...