Hivi ndivyo navyo imagine warembo wa JF walivyo. Heshima na taadhima zimezingatiwa na hakuna kejeli.

Ndo maana matukio ya wanaume kubakwa yamekua mengi sikuhizi
 
Wenye makebo na msio na makebo tafadhali msikubali kukadiriwa kwa namna hii natarajia nione malalamiko yenu ya kukataa kukadiriwa kwa namna hii.Vinginevyo mthibitishe makadirio hayo kwa uwazi hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…