Hivi ndivyo nilivyomjibu Afande akapaniki

sifi leo

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
5,182
Reaction score
8,948
Saaa sita kamili usiku nikiwa Pale ...

Kuna Bar nyingi mwanaume nimechili zangu nakula moja moto moja baridi peke yangu,ila wenzangu wanakunywa zile zinazotokana na migomba, mara enkecha mara enkonyagi,yaani pamechangamka ile mbaya kwa mbali tunasikiliza kawimbo ka Saida Karoli kale " mapenzi kizungu zungu mapenzi kizungu kizungu, unaweza ukapendwa hahaha bira pesa" kwakweli kumenoga.

Ghafla paapu tunavamiwa na kundi la maafande, ghafla kundi la wanywaji wa zile pombe wote wanakimbia, wote nabakia peke yangu pale Yani mpaka wAhudumu nao wanatoka nduki.

Kidume, nikadinda kumbe washikaji wakajua Huyu boys kabaki peke yake ngoja tumnyoshe,na kwa kuwa anakunywa bia litakuwa na pesa ya rushwa haiwezekani bar nzima ndo linakunywa bia alafu inaonekana sio lenyeji la hapa Ili ni geni haiwezekani wenzake watoke nduki alafu lenyewe libakie,au ni lenzetu Nini Ili?).

Afande; upo chini ya ulinzi wewe!

Mimi; Ebo!!

Afande;nakwambia upo chini ya ulinzi unasema ebo hacha zalau wewe!

Mimi;Afande Mimi ninajua yakuwa unanilinda Mimi na Mali zangu ilo ndilo jukumu lako,na ninajua kuwa muda wowote nipo chini ya ulinzi vinginevyo ningekuwa nishauwa bira kulindwa.

Afande;unanijibuje wewe?

Mimi;Afande hivi mbona sijawai ona au kutana na Askari akaniambia nipo chini ya ulinzi wewe unanirinda sana kuliko wenzako tangu nimezaliwa au we u maasusi kwa ajili yangu? (Mtoto wa kiume nashika chupa nanyonya Mvinyo taratibu)ila mchizi kapaniki Ili anitie presha Mimi!

Afande;nimekwambia upo chini ya ulinzi kwa kosa la kunywa bia nje ya muda elekezi kwa mujibu wa sheria.

Mimi;ebo Yani nipo chini ya ulinzi kwa kufanya kosa la kunywa bia nje ya muda elekezi kwa mujibu wa sheria?

Afande;anapaniki sana anaipiga kelele anawaita wenzake eti Mimi namzalau Kila akiongea Mimi nanyanyua chupa nakunywa bia badara ya kuacha kunywa(kidume nimekaa nimechili sana kumbuka Mimi awa watu nimeishi nao pale ostabey dar Zaid ya miaka 16, nawajua mpaka naumwa!

Maaskari;ebu simama wewe fala inaongea na maafande umekaa?(anatamka askari mmoja akiwa na libunduki lirefu kichizi!alafu anaongea kwa rafudhi ya kikurya.

Mimi sifi leo ndo kwanza nanyanyua lichupa la kaserengeti kadogo napiga pafu.

Afande; hivi we broo unajiamini Nini?muda wote mpka nawaita wenzangu wewe unajibu upuuzi tu ebu nyanyuka!

Mimi: nanyanyua chupa napiga pafu la mwisho kabia kanaelekea kuishia.

Hacha zalau wewe tutakupasua ujue wewe;by Afande mwingine.

Nanyanyuka Sasa;by Mimi;

Jamani mmeniambia nipo chini ya ulinzi nikawambia mm siitaji mniambie kama mnanilinda maana hata apo Kuna walinzi wangu wanalinda ila Huwa hata Mimi sijui ni nani anae nilienda wanapangwa na kampuni Yao kuwa leo wewe utaenda kumlinda sifi leo paspo kujua kama unamlinda maana ndo mashariti alitotupa anataka alindwe paspo kujua kama analindwa na nani?

Maafande;wanashutuka, Huyu analindwa ni nani kwani?kwa upole samahani mkuu kwani wewe ni nani?

Mimi;Mimi ni sifi leo wa jamii forum.over!

Neno over linashutua!

Mimi;nyinyi vijana ebu wekeni silaa chini tupambane kwa hoja Mimi sijafurhaishwa na mnavyo watisha wateja Yani mmeingia watu wakakimbia kweli?

Mimi;naingiza mkono mfukoni natoa kitambulisho Cha kuwa member wa Jamii forum, wote wanakimbia.

Mimi;nawaita na kuwambia wanisndikize nilikofikia alafu ndo waondoke.

Wanakubali tunaelekea kagest Fulani kapya pale nyuma ya Sheri sijui inaitwaje,dheni wanaondoka

Nawaanga kwa kuwambia nyinyi ni walinzi wangu na Mali zangu msiondoke mpaka nifike ndani nihakikishe kuwa Mali zangu ziko salama ok?

Wanasimama kutii amri yangu Mimi raia mwema na mtukufu member wa jf!

Naingiza ndani nakuta Kila kitu kipo sawa

Narudi na kuwambia Kila kitu kipo sawa ila naisi sijatosheka bia,nakwambia wanirudishe bar na wamwamushe muuzaji aniudumie maana hakuna sheria inakataza kunywa ila Kuna weza kuwa na by laws za kijeshi Ili kulinda Amani ya nchi.

Wakakiri yakuwa hata mkuu wao hajaelekeze hivyo,tukarudi wote mpaka bar, baada ya hapo nikanunua kreti nzima tukanywa na maafande mpaka asubuh maisha yakaendelea.

Ni stori ya kweli.
 
Huyu afande huyu kutoka kanda maalum kweli au alivushwa maji akapangiwa kituo huko?.

Aisee mura hapa kuna chai ya moto sana, nashindwa kunywa.
Hahahaha alivuka ziwa Victoria mbwea yule,;

Wewe kijana jiamini na elimu Yako vinakutosha kuto onewa waulize wakujibu kabla hawajakukamata bhana usiwakimbie watakupasua alafu usijue
 
Chai yamoto.

20220303_214056.jpg
 
Form 2 mtihani mnaanza lini? Maana siamini kama hata form 4 anaweza andika upuuzi kama huu. Haichekeshi na its very stupid. Kifupi umeandika upuuzi na kuonesha una kiwango duni cha elimu na malezi
 
Mafala ka WWE natembea nao Kila siku kwenye vuzi
 
Form 2 mtihani mnaanza lini? Maana siamini kama hata form 4 anaweza andika upuuzi kama huu. Haichekeshi na its very stupid. Kifupi umeandika upuuzi na kuonesha una kiwango duni cha elimu na malezi.
 
Back
Top Bottom