Hivi ndivyo nilivyomjibu Afande akapaniki

Hivi ndivyo nilivyomjibu Afande akapaniki

Kuna hali fulani huwa inatokea kwa binadamu inaitwa Illussions. Sijui kiswahili chake.

Mfano: Ukiwa Jangwani una kiu na njaa sana karibu kufa unaweza ukaona maji na mto mkubwa mbele kumbe hakuna maji.

Inawezekana kabisa hakukuwa na askari ila ulikunywa ukalewa ukapata msaada wa kupelekwa guest ila wewe ulichokuwa unaona ndicho unatuchosimulia sasa.
 
Back
Top Bottom