Hivi ndivyo nilivyopata mafanikio na kujikwamua kutoka kwenye umasikini

Hivi ndivyo nilivyopata mafanikio na kujikwamua kutoka kwenye umasikini

ni kwa nini mme wako Ntuzu asiniambie hizo habari? lakn wewe ndio uniambie, inaonesha unakutesa sana hata hela ya matumizi hakupi ndio maana shemeji yako Shy land unamwagukia kwenye miguu ili ukupe chochote ili uweze kujikwamua.

Khaaa hizo dharau sasa....umeanza dharau shemeji?
 
Last edited by a moderator:
Khaaa hizo dharau sasa....umeanza dharau shemeji?

usinichekeshe shemeji, siyo dharau, naogopa kama ukoma kumdharau mtu, maana sijui kesho itakuwaje. lakn shemeji Khantwe kama kweli, umechukulia nimekudharau naomba unisamehe. thanks
 
Last edited by a moderator:
Ukifuatilia story yako ni kuwa hujaondoa umaskini bali umeupunguza tena kidoogo tu. Acha kufuru. Una pesa ya kula bila kufanya kazi kwa muda gani? Umesaidia ndugu, jamaa au jamii yako vipi? Hata kodi hulipi wewe. Tulia.
 
usinichekeshe shemeji, siyo dharau, naogopa kama ukoma kumdharau mtu, maana sijui kesho itakuwaje. lakn shemeji Khantwe kama kweli, umechukulia nimekudharau naomba unisamehe. thanks

Bahati yako hili ni jukwaa la uchumi
 
Last edited by a moderator:
Changamoto kweli ni kubwa na nyigi pia maana hata hivyo sikutegemea sana kilimo kwa 100%, nishawahi kulimi mwaka mmoja ndegu nakumbuka zilikubwa na mafuriko,

lakn miaka ambayo nilipata mavuno nilijitahidi kuyahifadhi kwa kusubiri bei. ikubukwe sikuwa na majukumu ya kifamilia vile vile nilikuwanga na tabia kila nikamilaza kuvuna naenda dar es salaam kutafuta vibarua, nishawahi, kubeba zenge, kulima maeneo ya kimbiji, dege n.k pia nishawahi kusafiri na meli kwenda moroco tukipeleka ng'ombe yote hayo nikutafuta hela na kuacha kutegemea mavuno kwa 100%

Big up Mkuu kazana hivyo siku moja nikitembelea Shy ntakutafuta.
 
Huyu jamaa muongo mno.. Umeshauaga umaskini mara ngapi? Miezi mitatu iliyopita ulikuja na story nyingine
 
Huyu jamaa muongo mno.. Umeshauaga umaskini mara ngapi? Miezi mitatu iliyopita ulikuja na story nyingine

Naomba ulete link za uzi wangu zinazoonyesha uongo wangu. muite hata mkuu Tyta au watu8 waje wakusaidie kuonyesha uogo wangu.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu shy land hongera kwa harakati za kujikwamua ktk umaskini lakini ninavyokuona unapiga picha ndogo sana nikimaanisha inaonekana mtu Wa kuridhika na mafanikio madogo nakushauri jitahidi kupiga picha kubwa yaabi u think big usijione umefika,jaribu kupiga picha level za akina phantom au Paul ngw'ani Wa enzi hizo
 
Kimilidzo

Aliyekuambia mimi tajiri ni nani? au wapi nilipoandika mimi ni tajiri,

kutongoza ni sanaa ya ushawishi haiendani na mafanikio, uzuri n.k, jifunze kuelewa na kutodharau watu.
 
Last edited by a moderator:
Je, Shy land unaingiza kipato kwa kazi siasa kama diwani ?
 
Last edited by a moderator:
Ukifuatilia story yako ni kuwa hujaondoa umaskini bali umeupunguza tena kidoogo tu. Acha kufuru. Una pesa ya kula bila kufanya kazi kwa muda gani? Umesaidia ndugu, jamaa au jamii yako vipi? Hata kodi hulipi wewe. Tulia.

Ni maana ya umasikini??? mkuu ulichoandika ni ukweli 100% lakn ndio hali halisi ya maisha ya tanzania unatakiwa kufanya binu kama hizo, au wewe unategemea mimi nigefanyaje huku ukizigatia sijakaa sana darasani.
 
  • Thanks
Reactions: pjv
Back
Top Bottom