Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Nilisema nini?
Nilisema kuwa CHADEMA has lost the plot!
Wengine tukisemaga mnatuchukuliaga poa sana.
Kwa mlio na akili, kama deep down hamkielewi ambacho baadhi yetu tumekuwa tukikisema, basi mtakuwa na matatizo makubwa sana ya uelewa.
Haya, hebu ona nilichokisema takriban mwaka sasa kuhusu CHADEMA na uongozi wake halafu linganisha na haya yanayoendelea sasa hivi ndani ya chama hicho;
www.jamiiforums.com

Tacit admission?
Mr. Mbowe’s plea to President Magufuli to have a national reconciliation [not sure even for what exactly] seemed to have come out of left field. That was evidenced by the reaction of people whom one would consider to be allies’ of Mr. Mbowe and his CHADEMA. So if one were to read the tea...