Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Is that so?Msafara wa mamba na kenge wamo.
Tatizo ni pale kenge wanapokuwa wengi!
Ni wakati wananchi wa tanganyika waelewe kuwa hii nchi si ya kupiganiwa na chama fulani, bali watu wote. Hata kama huendi vitani, watie moyo waliopo vitani, sio unawaacha unaenda kula bata unategemea wafie huko kwa ajili yako. Wananchi mjifunze. Chama hakiwapiganii msipojipigania wenyeweNilisema nini?
Nilisema kuwa CHADEMA has lost the plot!
Wengine tukisemaga mnatuchukuliaga poa sana.
Kwa mlio na akili, kama deep down hamkielewi ambacho baadhi yetu tumekuwa tukikisema, basi mtakuwa na matatizo makubwa sana ya uelewa.
Haya, hebu ona nilichokisema takriban mwaka sasa kuhusu CHADEMA na uongozi wake halafu linganisha na haya yanayoendelea sasa hivi ndani ya chama hicho;
Tacit admission?
Mr. Mbowe’s plea to President Magufuli to have a national reconciliation [not sure even for what exactly] seemed to have come out of left field. That was evidenced by the reaction of people whom one would consider to be allies’ of Mr. Mbowe and his CHADEMA. So if one were to read the tea...www.jamiiforums.com
Kwikwikwi kesho utasikia chadema tuko imara zaidi ya wakati wowote ule .imbeciles on maggotsHivi kuongea ngeli fresh Ina maaanisha una uwezo mkubwa wa akili sio
Nauliza tu
Hujauliza!Hivi kuongea ngeli fresh Ina maaanisha una uwezo mkubwa wa akili sio
Nauliza tu
Jibu ni hapanaHivi kuongea ngeli fresh Ina maaanisha una uwezo mkubwa wa akili sio
Nauliza tu