Hivi ndivyo nionavyo tofauti yangu na Bujibuji

kweli si kila anaelala mlango wazi anapata bahati... eti eh...
 
kwa hiyo unataka kusema
naujua mkono wa pulova wa Bujibuji
kwani hata ikiwa ok unaona tatizo liko wapi hasa.

Kwani kuifehemu mikono shazi ni ujiko eeeh ?
Labda lakini ! Wajua mi bado mshambamshamba usinishangae!
 
Last edited by a moderator:
Haha haha hahaha u made my day.
Eti coming from rufiji. U realy driving me crazy
 

Bujibuji umesahau mimi fyangu ni fya underground!!! mtaroni hakunaga fya swagga za kimagharibi banaaa
 
Last edited by a moderator:
wera wera wera wera
Bujibuji zile dawa ulizokoga zimeanza fanya kazi
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…