Hivi ndivyo paka anavyoweza kusababisha mimba kutoka

maelezo mafupi sana haya.... Angeeleza kuhusu chanjo, tiba na namna ugonjwa unaambukiza..... ALIYELETA MADA HAKUJIPANGA.
 
Yawezekana kweli, jirani yangu ana paka mkondefu una ona kinyaa hata kumuangalia na mwezi umepita sasa bint yake mimba iliharibika.
 
Kutoka kwa Daktari wa wanyama nchini Tanzania, Dkt. Obed Kiariro amedai kuna uwezekano mkubwa wa Paka anayefugwa majumbani kupelekea kuharibu ujauzito kwa binadamu endapo mnyama huyo hatopewa matunzo mazuri yanayostahili kwa wakati.

Paka especially paka wenye hali ngumu ya maisha anaekula mpaka nzi,mijusi na wadudu wengine ni hatari kwani anabeba vimelea vya ugonjwa vya Toxoplasmosi ambavyo husababisha mimba kuharibika endapo mama mjamzito atavipata


Fukuza Paka wote nyumbani kama huwezi kuwatunza kwa usalama wa mama kijacho
[HASHTAG]#biologicalcontrolremaincostant[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…