Zanzibar 2020 Hivi ndivyo picha Zanzibar CCM Urais itachezwa

Zanzibar 2020 Hivi ndivyo picha Zanzibar CCM Urais itachezwa

TumainiEl

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
6,782
Reaction score
12,716
Igweee! CCM ndio chama lao full jasusi kukitetea chama na kamwe hawajashindwa. Hii Ramani ndio ya mchezo mzima plz do not ask me more question.

Baada watoto wa vigogo kuingia ulingoni na kuusaka urais CCM, kama kawa wanatengeneza mpango wa kufanya kazi kuwa rahisi kama sio lahisi.

Watoto wa mibuyu miwili watakatwa ila mmoja anajua atakatwa maana hata form kuchukua anajua why alichukua.

Huyu anayejua ndie next Rais wa Jamuhuri ya Muungano after Magufuli 2025. If not atakuwa ndio makamo wa Rais anaandaliwa na anazidi andaliwa huyo mwingine ambaye anaamini atakuwa mkuu wa Taifa la Zanzibar atakatwa pia japo atapovuka sana ila atatulia, wanafamilia watampooza bora yasheee.

Ila kichwa kinapelekwa pale ni Prof na huo ndio mpango. Sitaji jina kama unajuwa siasa fuatilia huo ndio utabiri wangu 2020

Kwaheri.
 
Duuhhh kwa halii hii si bora hata waloenda kuchukua fomu izo wangeenda kwa mafumbo mafumbo wakiwa wameficha mpaka sura.

Sasa wagombea wenyewe wameenda wazi na tumewajua.

Wewe mchambuzi wa siasa, unaleta habari za mafumbo mafumbo sijui nn?

Sema ivi mtoto wa Karume (Ali Karume) atakatwa.

Mtoto wa Mwinyi, Hussein Mwinyi ndio wanamwandaa kua Rais wa JMT .
 
DK.HUSEIN Mwinyi amechukua fomu kijasusi ili akatwe pamoja na mtoto wa karume!ili prof makame mbarawa aule!!halafu mwinyi junior ni raisi ajae 2025!!Huyo wa karume atapozwa kifamilia zaidi!!!
Karume hakuna wa kumpa wala hahitaji mizengwe kumtoa hamna kitu pale. Ali Karume hamnazo
 
DK.HUSEIN Mwinyi amechukua fomu kijasusi ili akatwe pamoja na mtoto wa karume!ili prof makame mbarawa aule!!halafu mwinyi junior ni raisi ajae 2025!!Huyo wa karume atapozwa kifamilia zaidi!!!
Si kweli .Hussein Mwinyi president ndio atashika hahiutaji kufanyiwa propaganda wala nini hana mshindani
 
Duuhhh kwa halii hii si bora hata waloenda kuchukua fomu izo wangeenda kwa mafumbo mafumbo wakiwa wameficha mpaka sura.

Sasa wagombea wenyewe wameenda wazi na tumewajua.

Wewe mchambuzi wa siasa, unaleta habari za mafumbo mafumbo sijui nini?

Sema ivi mtoto wa Karume (Ali Karume) atakatwa.

Mtoto wa Mwinyi, Hussein Mwinyi ndio wanamwandaa kua Rais wa JMT.
Hii picha ndiyo sahihi nyingne zimeungua
 
Yani uyo mbawala wala sioni, Rais Zanzibar ni Hussein alaf ajae huku kwetu ni Kassim. Time will tell
 
Mchezo unaisha hivi!

Hussen Mwinyi ndie atapeperusha bendera ya CCM kwa SMZ 2020.
Prof. Makame anaandaliwa kwa 2025 Jamhuri ya Muungano Tanzania baada ya Magufuli. (Atakuwa Kama kivuli tu cha JPM)
 
Back
Top Bottom