Rais wa 2025 ni Kassimu Majaliwa na kama ulivyo utamaduni wetu nadhani wenzetu wa dini fulani watakuwa wameridhika!DK.HUSEIN Mwinyi amechukua fomu kijasusi ili akatwe pamoja na mtoto wa karume!ili prof makame mbarawa aule!!halafu mwinyi junior ni raisi ajae 2025!!Huyo wa karume atapozwa kifamilia zaidi!!!
Karume hakuna wa kumpa wala hahitaji mizengwe kumtoa hamna kitu pale. Ali Karume hamnazoDK.HUSEIN Mwinyi amechukua fomu kijasusi ili akatwe pamoja na mtoto wa karume!ili prof makame mbarawa aule!!halafu mwinyi junior ni raisi ajae 2025!!Huyo wa karume atapozwa kifamilia zaidi!!!
Si kweli .Hussein Mwinyi president ndio atashika hahiutaji kufanyiwa propaganda wala nini hana mshindaniDK.HUSEIN Mwinyi amechukua fomu kijasusi ili akatwe pamoja na mtoto wa karume!ili prof makame mbarawa aule!!halafu mwinyi junior ni raisi ajae 2025!!Huyo wa karume atapozwa kifamilia zaidi!!!
Hii picha ndiyo sahihi nyingne zimeunguaDuuhhh kwa halii hii si bora hata waloenda kuchukua fomu izo wangeenda kwa mafumbo mafumbo wakiwa wameficha mpaka sura.
Sasa wagombea wenyewe wameenda wazi na tumewajua.
Wewe mchambuzi wa siasa, unaleta habari za mafumbo mafumbo sijui nini?
Sema ivi mtoto wa Karume (Ali Karume) atakatwa.
Mtoto wa Mwinyi, Hussein Mwinyi ndio wanamwandaa kua Rais wa JMT.
Sasa si wanasema kwa utamaduni wao lazima anayefuata atoke Zanzibar, Majaliwa si wa baraRais wa 2025 ni Kassimu Majaliwa na kama ulivyo utamaduni wetu nadhani wenzetu wa dini fulani watakuwa wameridhika!