DK.HUSEIN Mwinyi amechukua fomu kijasusi ili akatwe pamoja na mtoto wa karume!ili prof makame mbarawa aule!!halafu mwinyi junior ni raisi ajae 2025! Huyo wa karume atapozwa kifamilia zaidi!!!
Rais wa 2025 ni Kassimu Majaliwa na kama ulivyo utamaduni wetu nadhani wenzetu wa dini fulani watakuwa wameridhika!
Hussein hawezi kuwa rais JMTDuuhhh kwa halii hii si bora hata waloenda kuchukua fomu izo wangeenda kwa mafumbo mafumbo wakiwa wameficha mpaka sura.
Sasa wagombea wenyewe wameenda wazi na tumewajua.
Wewe mchambuzi wa siasa, unaleta habari za mafumbo mafumbo sijui nn?
Sema ivi mtoto wa Karume (Ali Karume) atakatwa.
Mtoto wa Mwinyi, Hussein Mwinyi ndio wanamwandaa kua Rais wa JMT .
Hapa mbona mnajichanganya nyie! Mnazungumzia Rais wa Zanzibar au wagombea wa Urais Zanzibar?
Maana Rais inajulikana wazi kuwa safari hii ni Seif Sharif Hamad almaarufu Maalim.
Sio kirahisi lakini itakuwa hivyo maana dunia ya kukubali wizi imeshaisha. Wizi wa kura kina JK, Mkapa na Mwinyi waliiba kisayansi ya siasa na ulaghai huku wakitoa maneno matamu wakafanikiwa.
Wizi huu wa Magu ni mabavu na uporaji kwa ubabe na vitisho. Mbinu hiyo haiwezi kufaulu dunia ya sasa.
Kama mnaamini Wazenji ni mdebwedo jaribuni muone!
Majaliwa hawezi kuwa raisi ajae!!!mawaziri wakuu ni raisi wa tanganyika na amewekewa kinga ya kutoshtakiwa hawezi kuwa mara mbili tena!!!
BWM, JK & JPM si wametoka Bara mfululizo? Shida wapi?Sasa si wanasema kwa utamaduni wao lazima anayefuata atoke Zanzibar, Majaliwa si wa bara
UTABIRI WANGU: Kama prof. Mbarawa atapita na kuchaguliwa kuwa Rais wa Zanzibar, basi 2025 huenda akachukua fomu ya kugombea u Rais wa Tanzania, na iwapo atafanikiwa kuwa Rais, basi ile katiba ya Judge Warioba italetwa mezani, kwani kama Taifa tutakuwa tumejifunza mengi, kwa mfano, madaraka makubwa aliyonayo Rais na jinsi ya kuyapunguza, na jinsi ya kudhibiti uvunjwaji wa wazi wazi wa katiba na kiongozi anayekuwepo madarakani.Baada watoto wa vigogo kuingia ulingoni na kuusaka urais CCM, kama kawa wanatengeneza mpango wa kufanya kazi kuwa rahisi kama sio lahisi.
Watoto wa mibuyu miwili watakatwa ila mmoja anajua atakatwa maana hata form kuchukua anajua why alichukua.
Huyu anayejua ndie next Rais wa Jamuhuri ya Muungano after Magufuli 2025. If not atakuwa ndio makamo wa Rais anaandaliwa na anazidi andaliwa huyo mwingine ambaye anaamini atakuwa mkuu wa Taifa la Zanzibar atakatwa pia japo atapovuka sana ila atatulia, wanafamilia watampooza bora yasheee.
Ila kichwa kinapelekwa pale ni Prof na huo ndio mpango. Sitaji jina kama unajuwa siasa fuatilia huo ndio utabiri wangu 2020
Kwaheri.
Haswaaa! Nchi ina wenyewe hii,japokuwa 2025 ni mbali wakati unaweza ukaamua vinginevyo vyovyote, ila nafasi ya ulichoandika kutimia ni kubwa.DK.HUSEIN Mwinyi amechukua fomu kijasusi ili akatwe pamoja na mtoto wa karume!ili prof makame mbarawa aule!!halafu mwinyi junior ni raisi ajae 2025!!Huyo wa karume atapozwa kifamilia zaidi!!!
Hamna Cha utamaduni wala nini.reje; mkapa_ bara,jk-bara na JPM baraSasa si wanasema kwa utamaduni wao lazima anayefuata atoke Zanzibar, Majaliwa si wa bara
kumbe ni utabiri..... basi sawa!Igweee! CCM ndio chama lao full jasusi kukitetea chama na kamwe hawajashindwa. Hii Ramani ndio ya mchezo mzima plz do not ask me more question.
Baada watoto wa vigogo kuingia ulingoni na kuusaka urais CCM, kama kawa wanatengeneza mpango wa kufanya kazi kuwa rahisi kama sio lahisi.
Watoto wa mibuyu miwili watakatwa ila mmoja anajua atakatwa maana hata form kuchukua anajua why alichukua.
Huyu anayejua ndie next Rais wa Jamuhuri ya Muungano after Magufuli 2025. If not atakuwa ndio makamo wa Rais anaandaliwa na anazidi andaliwa huyo mwingine ambaye anaamini atakuwa mkuu wa Taifa la Zanzibar atakatwa pia japo atapovuka sana ila atatulia, wanafamilia watampooza bora yasheee.
Ila kichwa kinapelekwa pale ni Prof na huo ndio mpango. Sitaji jina kama unajuwa siasa fuatilia huo ndio utabiri wangu 2020
Kwaheri.
Nadhani utamaduni unaoangaliwa hapa ni wa kubadilishana madhehebu,suala la uzanzibari na utanganyika lilishakufa kitambo tu kwa ushahidi wa maraisi watatu mfululizo kutoka bara.BWM, JK & JPM si wametoka Bara mfululizo? Shida wapi?
Hivi Membe akikutana na Magufuli face to face wanaongea vizuri kweli ?Mkuu Tumain Eli vp nasikia membe yupo Dom anaisaka fomu ya Uraisi!!!ni kweli???
Katiba ipi inasema kwamba waziri mkuu ni rais wa Tanganyika ?Majaliwa hawezi kuwa raisi ajae!!!mawaziri wakuu ni raisi wa tanganyika na amewekewa kinga ya kutoshtakiwa hawezi kuwa mara mbili tena!!!
Kwani Hussein ni mkristoRais wa 2025 ni Kassimu Majaliwa na kama ulivyo utamaduni wetu nadhani wenzetu wa dini fulani watakuwa wameridhika!
Mbona kama profesa amepoa ataharibu kasi aliyoiacha mzee babaMchezo unaisha hivi!
Hussen Mwinyi ndie atapeperusha bendera ya CCM kwa SMZ 2020.
Prof. Makame anaandaliwa kwa 2025 Jamhuri ya Muungano Tanzania baada ya Magufuli. (Atakuwa Kama kivuli tu cha JPM)
Rais wa 2025 ni Kassimu Majaliwa na kama ulivyo utamaduni wetu nadhani wenzetu wa dini fulani watakuwa wameridhika!