Zanzibar 2020 Hivi ndivyo picha Zanzibar CCM Urais itachezwa

Maalim kashazoea kupoteza chaguzi, na huu utakuwa ni muendelezo tu kama vipindi vilivyopita
 
Hv jecha bado yupo!!?
 
Semeni mgombea wa ccm stupid nyie! Sio Rais ajae
 
Rais wa Zanzibar safari hii ni Maalim Seif. Mwaka huu ni mwisho wa vya kunyonga. Mpeni haki yake Maalim. Tumechoka na uongozi wa kuiba. Ndio maana nchi haibarikiwi kwa viongozi wa kuiba. Tangu 1995 ni wizi tu Zanzibar.
 
Mara ooh! Hussein kaandaliwa kumrithi shein

Mara ooh! Mbarawa kaandaliwa kumrithi jpm

Mara ooh! Kassim kaandaliwa kumpokea kijiti jpm

Blaah! Blaah! Kibao....

SWALI

Nani anawaandaa na wanaandaliwa wapi ili nami niende nikaandaliwe nije kumpokeza naniliu kijiti?
 
porojo tupu !
 
Wash out
 
hakuna jipya
 
DK.HUSEIN Mwinyi amechukua fomu kijasusi ili akatwe pamoja na mtoto wa karume!ili prof makame mbarawa aule!!halafu mwinyi junior ni raisi ajae 2025!!Huyo wa karume atapozwa kifamilia zaidi!!!
Yaani mwaka 2025 unamtaja mtu kuwa rais? Huo mkataba waliowekeana na Mungu umeuona? Tuwekee basi hapa JF
 
Makame Mbarawa au profesa yupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…