Zanzibar 2020 Hivi ndivyo picha Zanzibar CCM Urais itachezwa

Hamna Cha utamaduni wala nini.reje; mkapa_ bara,jk-bara na JPM bara
Utamaduni wa jambo hilo ni kwamba rais akitoka upande mmoja wa muungano basi makamu wake atatoka upande mwingine wa muungano na si kama mnavyo uelezea.

Kwa mantiki hiyo bara/Zanzibar inaweza kutoa hata marais kumi mfululizo mradi tu makamu atoke upande wa pili wa muungano.
 
Yani uyo mbawala wala sioni, Rais Zanzibar ni Hussein alaf ajae huku kwetu ni Kassim. Time will tell
Mbarawa kuchukua form leo na anavyofagiliwa na Magufuli kwa utendaji kazi wake, nimehisi mchezo ndio umekwisha.
Mpemba Yule itakuwa kazi sana kumnadi, by the way DR.shein KAMALIZIA ZAMU YA WAPEMBA, ili kudumisha mahusiano ya visiwa time hii ni unguja
 
Kwa kweli Safari hii CCM upande wa Zanzibar ni raha, Zanzibar kunazidi kunoga.
 
DK.HUSEIN Mwinyi amechukua fomu kijasusi ili akatwe pamoja na mtoto wa karume!ili prof makame mbarawa aule!!halafu mwinyi junior ni raisi ajae 2025!!Huyo wa karume atapozwa kifamilia zaidi!!!
Mzanzibar awe rais wa JMT? Labda Kama CCM itakuwa tayari kupoteza hicho kiti. Yaani watia Nia 40 halafu wakatwe wote abaki mzanzibar? Siyo rahisi. Watanganyika watakuwa tayari kumpa hata musukuma wa geita na siyo mzanzibar.
 
Huu Ni utabiri hewa aisee
 
kama kautamaduni kaliisha kwa Nyerere,sasa mbona huku bara wamechapisha fomu moja tu ya ugombea uraisi vip wengine
Utaratibu wa CCM rais anayeendelea anapewa nafasi ya upendeleo, kwa hiyo 2015 walikuwa 43 na Tena 2025 mnyukano mkubwa Sana maana Magufuli atakuwa anaondoka.
 
Sipendi nchi iongozwe na profesor. mwenye PHD Inabidi inatakiwa iwe ya hesima tuu.Siasa bora huendeshwa na wasomi wa kati
 
Huu ni utabiri, uchambuzi ama ramli chonganishi
 
DK.HUSEIN Mwinyi amechukua fomu kijasusi ili akatwe pamoja na mtoto wa karume!ili prof makame mbarawa aule!!halafu mwinyi junior ni raisi ajae 2025!!Huyo wa karume atapozwa kifamilia zaidi!!!
2025 - 2045 Ni JPM.
 
Mchezo unaisha hivi!

Hussen Mwinyi ndie atapeperusha bendera ya CCM kwa SMZ 2020.
Prof. Makame anaandaliwa kwa 2025 Jamhuri ya Muungano Tanzania baada ya Magufuli. (Atakuwa Kama kivuli tu cha JPM)
HUYO MAKAME MBARAWA HATA NJIA YA KWENDA KISIWANDUI KAIJUA LEO
 
Mkuu Tumain Eli vp nasikia membe yupo Dom anaisaka fomu ya Uraisi!!!ni kweli???
Hakuna atakaye chukua form Bara kuchuwana na Magufuli. Hata wale fake huwa wanachomekewa huwenda wasiwepo... na wakiwepo jina litakuwa geni japo kwa tetesi zilizopo hakuna mtu wakuchukua form kutokana na kubadilishwa kipengele 2015 baada tu yakumpata Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…