Sasa kama ni fair play siku moja Znz imchague mtu wa bara awe rais wa Znz wao wanataka ya muungano ya kwao AhaaaMzanzibar awe rais wa JMT? Labda Kama CCM itakuwa tayari kupoteza hicho kiti. Yaani watia Nia 40 halafu wakatwe wote abaki mzanzibar? Siyo rahisi. Watanganyika watakuwa tayari kumpa hata musukuma wa geita na siyo mzanzibar.
MbarawaaaTutajie jina mafumbo ya nini?
Hata mimi sioni uwezekano huo na pia sitakiiiiiUmewaza vizuri ila hujapanua wigo, hivi unadhani kwa kizazi cha sasa kuna mzanzibar atakua rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania??? Hicho kitu wakijaribu ccm watakua wamechimbia kaburi wenyewe na sidhani kamawatafanya hilo kosa
Siwezi sema nime fail while unajuwa msiba umetukuta. Msiba ambao even me niliutabiei japo sikujuwa ungetokea pia Na ule mpango wakuongeza miaka yakutawala kwa Rais alie tutoka.hapa ulifeli
Kwahiyo Mkuu duru zipoje kwasasa?Siwezi sema nime fail while unajuwa msiba umetukuta. Msiba ambao even me niliutabiei japo sikujuwa ungetokea pia Na ule mpango wakuongeza miaka yakutawala kwa Rais alie tutoka.
???Rais wa 2025 ni Kassimu Majaliwa na kama ulivyo utamaduni wetu nadhani wenzetu wa dini fulani watakuwa wameridhika!