Hivi ndivyo Rais Samia anavyozungumziwa kimataifa, "Hassan bans all political rallies"

Hivi ndivyo Rais Samia anavyozungumziwa kimataifa, "Hassan bans all political rallies"

Gentleman,
Tanzania haina uhaba wa wanasiasa, viongozi wala wapiga kura.

ukisusa kwa hiyari yako,
wengine wanaendelea mbele kwa mujibu wa Katiba bila mbambamba yoyote. Na huna haja ya kuweweseka na kuendekeza chuki kwa ambao wanasonga mbele šŸ’

Sasa police mtaani wanafanya nini... baada ya 98 %...!?
 
Sasa police mtaani wanafanya nini... baada ya 98 %...!?
serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan,
inawajibika kuhakikisha kwamba amani, utulivu, ulinzi na usalama wa waTanzania wote, mali na makazi yao vipo salama, na hakuna fyokofyoko zozote zile za vibaka wa kisiasa au vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi zenye kuhatarisha usalama au amani šŸ’
 
Nyie wote wapumbavu tu na hao mabwana zenu wanaotuzungumza vibaya huko nje,Sijui ndiyo nyumani Kwenu huko !. Tanzania hairudi nyuma.Na jaribuni tena muone na hayo mataahira yenu mawili yatwapeleka pabaya.
Wananchi wata deal na nyinyi moja kwa moja this time. Polisi kazi yao itakuwa ndogo sana.
Kwahiyo sirikali imeamua kuunda vikundi vya mgambo/gaidi ili kupambana na raia wenye kutaka kutekeleza haki yao ya msingi chini ya Mwaipopo na anachekewa tu vyombo vinakenua tu. Hili nalo ajabu lingine Katambi kimya mzee wa portfolio, igp nae kuamlishwa na mwanasiasa tena kijana mdogo nae anatekeleza tu kuna kitu hapo ukute ako na makando ya kutosha na yanajulikana.
 
Maonyesho ya Biashara (Sabasaba): Serikali pia ilihofia kuwa maandamano yangeingiliana na Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, jambo ambalo lingevuruga jitihada za kukuza biashara na wawekezaji wa kimataifa
Haya maonyesho yanapashwa kuvurugwa. Yasiwepo kabisa.
 
Kichwa cha habari kabla hakijahaririwa na mods hakikusema ā€˜Rais’.

Samia siyo Rais kwa sababu hakuna uchaguzi halali uliofanyika na yeye kuchaguliwa kuwa Rais.

Huo ndo ukweli wenyewe.
Mods watuache sisi tusiotambua Urais wake tuendelee kutokutambua. Wasituwekee maneno mdomoni.
 
Nyie wote wapumbavu tu na hao mabwana zenu wanaotuzungumza vibaya huko nje,Sijui ndiyo nyumani Kwenu huko !. Tanzania hairudi nyuma.Na jaribuni tena muone na hayo mataahira yenu mawili yatwapeleka pabaya.
Wananchi wata deal na nyinyi moja kwa moja this time. Polisi kazi yao itakuwa ndogo sana.
Cuma la mamako šŸ–•.
 
Ukombozi upo karibu kutokea
haki haiombwi haki inadaiwa kwa nguvu ikishindikana kwa njia ya amani
CCM wanapaswa kukaa pembeni
 
Haya maonyesho yanapashwa kuvurugwa. Yasiwepo kabisa.
Acha kutumia vilevi vikali
Maonyesha yapo , tangu juzi watu wanamiminika viwanjani, halafu wewe mpuuzi mmoja unasema yasiwepo, utafikiri ulikuwa usingizini.
 
Hivi ndivyo Samia anavyozungumziwa kimataifa.

Kwa kweli watu wanaomuunga mkono huyu muuaji siwaelewi kabisa.

==============
Serikali imepigwa marufuku mikutano yote ya kisiasa, jambo ambalo limepingwa na wanaharakati na upinzani (Chadema) kama "ukandamizaji unaoongezeka" na jambo ambalo ni "kinyume cha katiba".

Sababu za Serikali: Serikali imetoa sababu za usalama, ikidai kupata watu wenye silaha na petroli waliohusika kupanga matendo ya uhalifu kuelekea maandamano ya Julai 7.

Vifo na Kupotea kwa Watu: Ripoti ya tume iliyoteuliwa na serikali ilieleza kuwa watu 518 walikufa kutokana na vurugu za uchaguzi uliopita, huku watu 558 wakiwa bado hawajulikani walipo (missing). Hata hivyo, wapinzani na wanadiplomasia wa Magharibi wanakadiria idadi ya vifo kuwa kati ya 1,000 na 2,000.

Mabadiliko ya Rais Samia:kuwa hatua hii ni "kurudi nyuma kwa mageuzi" (reversal of reforms) kwa sababu Rais Samia awali alikuwa ameziondoa kizuizi hicho kilichowekwa na mtangulizi wake, John Magufuli.
  • Maonyesho ya Biashara (Sabasaba): Serikali pia ilihofia kuwa maandamano yangeingiliana na Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, jambo ambalo lingevuruga jitihada za kukuza biashara na wawekezaji wa kimataifa

View: https://youtu.be/dNkjvVADoKw?is=JNvNImuu9c_kIIzU

"Serikali imepigwa marufuku mikutano yote ya kisiasa"! REKEBISHA.
 
Siku zake zimekaribia sana.
 
Jamaa ni wakatili balaa na hii laana itawafuna vizazi na vizazi huko hakuna kitu wanajali kuhusu maisha ya Watanzania kwa sasa zaidi ya maslahi yao kwenye biashara zao tu angalia mafuta yameshuka bei yana muda wao yapo hivyo hivyo na tutegemee wataongeza tena nimemunua Diesel huko Malawi Mchinji wanauza sawa na Tsh 4100 wakati hiyo Diesel Tanzania inauzwa Tsh 5400 hakuna kitu wanajali hapo ni ukatili tu..
Kwa taarifa za BOT inflation kwa mwezi May ni 4.2% kwa sababu ya kupanda kwa gharama za usafirishaji wa bidhaa..
 
Kahaba The Butcher.
Tumefanyiwa Kosa kubwa mno na hao Mtandao
 
Screenshot_20251217-065939~2.png
 
Back
Top Bottom