The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,900
- 18,751
Gentleman,
Tanzania haina uhaba wa wanasiasa, viongozi wala wapiga kura.
ukisusa kwa hiyari yako,
wengine wanaendelea mbele kwa mujibu wa Katiba bila mbambamba yoyote. Na huna haja ya kuweweseka na kuendekeza chuki kwa ambao wanasonga mbele 🐒
serikali sikivu ya CCM chini ya Dr Samia Suluhu Hassan,Sasa police mtaani wanafanya nini... baada ya 98 %...!?
Kwahiyo sirikali imeamua kuunda vikundi vya mgambo/gaidi ili kupambana na raia wenye kutaka kutekeleza haki yao ya msingi chini ya Mwaipopo na anachekewa tu vyombo vinakenua tu. Hili nalo ajabu lingine Katambi kimya mzee wa portfolio, igp nae kuamlishwa na mwanasiasa tena kijana mdogo nae anatekeleza tu kuna kitu hapo ukute ako na makando ya kutosha na yanajulikana.Nyie wote wapumbavu tu na hao mabwana zenu wanaotuzungumza vibaya huko nje,Sijui ndiyo nyumani Kwenu huko !. Tanzania hairudi nyuma.Na jaribuni tena muone na hayo mataahira yenu mawili yatwapeleka pabaya.
Wananchi wata deal na nyinyi moja kwa moja this time. Polisi kazi yao itakuwa ndogo sana.
Haya maonyesho yanapashwa kuvurugwa. Yasiwepo kabisa.Maonyesho ya Biashara (Sabasaba): Serikali pia ilihofia kuwa maandamano yangeingiliana na Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, jambo ambalo lingevuruga jitihada za kukuza biashara na wawekezaji wa kimataifa
Mods watuache sisi tusiotambua Urais wake tuendelee kutokutambua. Wasituwekee maneno mdomoni.Kichwa cha habari kabla hakijahaririwa na mods hakikusema ‘Rais’.
Samia siyo Rais kwa sababu hakuna uchaguzi halali uliofanyika na yeye kuchaguliwa kuwa Rais.
Huo ndo ukweli wenyewe.
Cuma la mamako 🖕.Nyie wote wapumbavu tu na hao mabwana zenu wanaotuzungumza vibaya huko nje,Sijui ndiyo nyumani Kwenu huko !. Tanzania hairudi nyuma.Na jaribuni tena muone na hayo mataahira yenu mawili yatwapeleka pabaya.
Wananchi wata deal na nyinyi moja kwa moja this time. Polisi kazi yao itakuwa ndogo sana.
Mtu uko Marekani unamuita vipi Samia Rais?I’ll never ever call her Rais .
Vyovyote vile ila watamkumbukaKwa kuwaua na kuwatesa yes!
Siyo kwa kingine.
Acha kutumia vilevi vikaliHaya maonyesho yanapashwa kuvurugwa. Yasiwepo kabisa.
"Serikali imepigwa marufuku mikutano yote ya kisiasa"! REKEBISHA.Hivi ndivyo Samia anavyozungumziwa kimataifa.
Kwa kweli watu wanaomuunga mkono huyu muuaji siwaelewi kabisa.
==============
Serikali imepigwa marufuku mikutano yote ya kisiasa, jambo ambalo limepingwa na wanaharakati na upinzani (Chadema) kama "ukandamizaji unaoongezeka" na jambo ambalo ni "kinyume cha katiba".
Sababu za Serikali: Serikali imetoa sababu za usalama, ikidai kupata watu wenye silaha na petroli waliohusika kupanga matendo ya uhalifu kuelekea maandamano ya Julai 7.
Vifo na Kupotea kwa Watu: Ripoti ya tume iliyoteuliwa na serikali ilieleza kuwa watu 518 walikufa kutokana na vurugu za uchaguzi uliopita, huku watu 558 wakiwa bado hawajulikani walipo (missing). Hata hivyo, wapinzani na wanadiplomasia wa Magharibi wanakadiria idadi ya vifo kuwa kati ya 1,000 na 2,000.
Mabadiliko ya Rais Samia:kuwa hatua hii ni "kurudi nyuma kwa mageuzi" (reversal of reforms) kwa sababu Rais Samia awali alikuwa ameziondoa kizuizi hicho kilichowekwa na mtangulizi wake, John Magufuli.
- Maonyesho ya Biashara (Sabasaba): Serikali pia ilihofia kuwa maandamano yangeingiliana na Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam, jambo ambalo lingevuruga jitihada za kukuza biashara na wawekezaji wa kimataifa
View: https://youtu.be/dNkjvVADoKw?is=JNvNImuu9c_kIIzU
Siku zake zimekaribia sana.Hivi ndivyo Samia anavyozungumziwa kimataifa.

Mi sikuandika hivyo. Hao ni mods…."Serikali imepigwa marufuku mikutano yote ya kisiasa"! REKEBISHA.