Hivi Ndivyo Samia amefungua Uchumi. Mapato ya Jiji la Arusha Yapaa Mara Mbili kutoka Bilioni 30 Hadi Bilioni 60. Ni zaidi ya asilimia πŸ’―

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Rais DK.Samia anazidi Kujipambanua na kujitofautisha na watangulizi wake Kwa kuacha alama.

Kutokana na sera yake ya kufungua Uchumi wa Nchi, Halmashauri ya Jiji la Arusha inatarajia kukusanya Mapato ya Shilingi Bilioni 60.6 ikiwa ni mara 2 ya makusanyo ya awali au sawa na ongezeni la zaidi ya asilimia πŸ’―.

Haya ni mafanikio makubwa ya kujua Kwa shughuli za kiuchumi na kuongeza Kwa mzunguko wa hela wa Jiji ambalo miaka iliyopita kilikuwa limepauka huku sekta yake kuu ya Utalii na Biashara za Huduma zikiwa zimedorora ,lakini chini ya mama hakuna vyumba vya hotels na lodges vyote vimejaa zikiwemo zile ambazo ziligunga.

Kwa mujibu wa meya wa Jiji Hilo, mabilioni hayo yanaenda kuleta mapinduzi makubwa kwenye Maisha ya watu kwani asilimia 80% ya Mapato yote yataenda kuboresha Huduma za Jamii na Uchumi za Wananchi wa Arusha.

View: https://youtu.be/5EjA-bQm73Q?si=iMX92jZDgyoLKFTD

My Take
Tuliwaambia Samia ni next level kwenye uchumi muwe mnaelewa.

View: https://www.instagram.com/p/C5yISLvqAGV/?igsh=ZGs5MTAwand4OWM0
 
Kuna watu wanasema gharama za kutekeleza miradi nazo zimepanda maradufu! Huko kwenye SGR gharama za kujenga kilometa 1 zimeongezeka sana tofauti na miaka 7 iliyopita?
 
πŸ˜πŸ˜‰β˜ΊοΈπŸ˜©
 
Kuna watu wanasema gharama za kutekeleza miradi nazo zimepanda maradufu! Huko kwenye SGR gharama za kujenga kilometa 1 zimeongezeka sana tofauti na miaka 7 iliyopita?
Hao ni looser na punguani.Kwani gharama za materials na dollar havijapanda?
 
kwa sababu ni matarajio, ngojq tusubiri zipatikane kwanza ili tucomment kwa uhakika zaidi.
Huwezi weka unrealistic matarajio.Na namna nzuri ya kuweka hayo matarajio ni kuangalia makusanyo yaliyopota ambapo Jiji walikusanya zaidi ya Bil.50 Nje kabisa ya target ya bil.30.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…