Hivi Ndivyo Samia amefungua Uchumi. Mapato ya Jiji la Arusha Yapaa Mara Mbili kutoka Bilioni 30 Hadi Bilioni 60. Ni zaidi ya asilimia 💯

Hivi Ndivyo Samia amefungua Uchumi. Mapato ya Jiji la Arusha Yapaa Mara Mbili kutoka Bilioni 30 Hadi Bilioni 60. Ni zaidi ya asilimia 💯

Kama kila kitu kimepanda thamani, basi hata kupanda kwa makusanyo ni evident, hakuna rocket science hapo.

Acha propaganda mkuu.
Makusanyo yanapanda Kwa kuongezeka Kwa shughuli za kiuchumi na sio bei maana bei zingaweza kuongeza na watu wakashindwa kununua.

Wewe Kwa akili Yako mbovu, uchumi umefunguka na watu hawaporwi pesa how comes watu wasiongeze investments?
 
Serikali haigawi hela Kwa mtu binafsi ila kwenye Huduma za kiuchumi na kijamii.

Kwa hiyo ukitoka kwako Huwa unapata ndio unaenda kwenye shughuli zako?
Inshu kwenye afya mkuu ndo muhimu Huku mtaani ni Hatar sana bora ingecheza na vyote Ila wangeweka unafuu kwenye afya basi cos ndo life
 
Hao ni looser na punguani.Kwani gharama za materials na dollar havijapanda?
Naona kama vile umesogezewa kete ukakimbilia kuila, kumbe anakupanga akigeuze tutusa na kukupiga super. Kwani mapato hayo ya Arusha yenyewe hayahusisni na kupanda kwa dollar ukichukulia utalii ndiyo tegemeo kule?
 
Inshu kwenye afya mkuu ndo muhimu Huku mtaani ni Hatar sana bora ingecheza na vyote Ila wangeweka unafuu kwenye afya basi cos ndo life
Afya zinaendelea kuboreshwa,tena hakuna awamu sekta ya Afya imeboteshwa kama awamu ya Samia kuanzia majengo,watoa Huduma Hadi vifaa tiba.

Serikali haijaisha hapo,ungesikiliza maelezo ya Meya utaona imepanga kufanya nini hapo Arusha.
 
Inshu sio majengo huduma ziwe chin mkuu
 
Utalii umeingiza shilingi ngapi?
 
Kwenye gharama za mradi Ina impacts,Hili la Mapato halihusiani na Dola.
Nitakuelekeza kwa hesabu rahisi,
Kama sukari Kilo 1 ilikuwa inauzwa Sh 2000 hapo VAT 18% ni Sh 360, ikipanda ikauzwa Sh 4000 hapo VAT 18% ni Sh 720, mapato yanaongezeka.
 
Ndio hayahusiani,maana kama ulikuwa unalipa 100k itasalia hiyo hiyo ila Ili iwe 200k lazima awepo mwingine wa kulipa 100k nyingine.

Sio tuu Arusha Hadi huko Msalala👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C5yA0OqK_vs/?igsh=NTA1Ymwzd2RuNzdl

Hujui,
Shillingi ya Tanzania ikipoteza thamani dhidi ys shillingi nyingine kama $ au Shillingi ya Kenya inamaanisha utahitaji pesa nyingi zaidi za shillingi ya Tanzania kuagiza bidhaa unapoagiza bidhaa au huduma kutoka nje kwa hizo sarafu.
Usiogope lakini, kuanguka kwa shillingi kunaweza kuwa na faida kwa "wafanyabiashara" kama wanazalisha bidhaa na huduma nzuri zinazohitajika nje ya nchi kwa sababu huko nje ya nchi zinakuwa rahisi.
 
Rais DK.Samia anazidi Kujipambanua na kujitofautisha na watangulizi wake Kwa kuacha alama.

Kutokana na sera yake ya kufungua Uchumi wa Nchi, Halmashauri ya Jiji la Arusha inatarajia kukusanya Mapato ya Shilingi Bilioni 60.6 ikiwa ni mara 2 ya makusanyo ya awali au sawa na ongezeni la zaidi ya asilimia 💯.

Haya ni mafanikio makubwa ya kujua Kwa shughuli za kiuchumi na kuongeza Kwa mzunguko wa hela wa Jiji ambalo miaka iliyopita kilikuwa limepauka huku sekta yake kuu ya Utalii na Biashara za Huduma zikiwa zimedorora ,lakini chini ya mama hakuna vyumba vya hotels na lodges vyote vimejaa zikiwemo zile ambazo ziligunga.

Kwa mujibu wa meya wa Jiji Hilo, mabilioni hayo yanaenda kuleta mapinduzi makubwa kwenye Maisha ya watu kwani asilimia 80% ya Mapato yote yataenda kuboresha Huduma za Jamii na Uchumi za Wananchi wa Arusha.

View: https://youtu.be/5EjA-bQm73Q?si=iMX92jZDgyoLKFTD

My Take
Tuliwaambia Samia ni next level kwenye uchumi muwe mnaelewa.

View: https://www.instagram.com/p/C5yISLvqAGV/?igsh=ZGs5MTAwand4OWM0

Achana na tabia za kuamini hao wanasiasa wa CCM.
Yaani huyo Meya tangu mwaka 2020 alikuwa anasema stendi ya mabasi Arusha ilikuwa ijengwe na kukamilika kabla ya 2021. Pesa zimetolewa, wamezila, mwaka wa nne huu hakuna cha stendi wala kifusi cha kujenga stendi.
 
Kinachojenga ni hela,Sasa hivi pesa ipo.

Mwisho sio Suala la kuamini ni Suala la kuona vitu vinatokea, takwimu na namba
 
Hujui,
Shillingi ya Tanzania ikipoteza thamani dhidi ys shillingi nyingine kama $ au Shillingi ya Kenya inamaanisha utahitaji pesa nyingi zaidi za shillingi ya Tanzania kuagiza bidhaa unapoagiza bidhaa au huduma kutoka nje kwa hizo sarafu.
Usiogope lakini, kuanguka kwa shillingi kunaweza kuwa na faida kwa "wafanyabiashara" kama wanazalisha bidhaa na huduma nzuri zinazohitajika nje ya nchi kwa sababu huko nje ya nchi zinakuwa rahisi.
Acha porojo zisizo na msingi.Hayo inayoeleza wewe yanahisianaje na makusanyo kuongeza kutoka bil.30 Hadi bil.60?
 
Nitakuelekeza kwa hesabu rahisi,
Kama sukari Kilo 1 ilikuwa inauzwa Sh 2000 hapo VAT 18% ni Sh 360, ikipanda ikauzwa Sh 4000 hapo VAT 18% ni Sh 720, mapato yanaongezeka.
Acha kukurupuka, Halmashauri hazitozi ushuru au kupata makusanyo Yao Kwa utaratibu wa VAT kama TRA.

Hakuna Cha kunifundisha hapa ,harafu mtu aliyekadiliwa Kodi anakadiliwa pesa halisi ambayo Haina uhusiano na kuongezeka Kwa bei ya bidhaa.

Hata hivyo hayo yote Huwa yanakuwa adjusted na bidhaa ambazo bei imeshuka mfano vyakula.
 
Back
Top Bottom