ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #21
Makusanyo yanapanda Kwa kuongezeka Kwa shughuli za kiuchumi na sio bei maana bei zingaweza kuongeza na watu wakashindwa kununua.Kama kila kitu kimepanda thamani, basi hata kupanda kwa makusanyo ni evident, hakuna rocket science hapo.
Acha propaganda mkuu.
Serikali haigawi hela Kwa mtu binafsi ila kwenye Huduma za kiuchumi na kijamii.Sema mapato yao binafsi maana huku chini hayatugusi kabisa
Inshu kwenye afya mkuu ndo muhimu Huku mtaani ni Hatar sana bora ingecheza na vyote Ila wangeweka unafuu kwenye afya basi cos ndo lifeSerikali haigawi hela Kwa mtu binafsi ila kwenye Huduma za kiuchumi na kijamii.
Kwa hiyo ukitoka kwako Huwa unapata ndio unaenda kwenye shughuli zako?
Naona kama vile umesogezewa kete ukakimbilia kuila, kumbe anakupanga akigeuze tutusa na kukupiga super. Kwani mapato hayo ya Arusha yenyewe hayahusisni na kupanda kwa dollar ukichukulia utalii ndiyo tegemeo kule?Hao ni looser na punguani.Kwani gharama za materials na dollar havijapanda?
Ndio hayahusiani,maana kama ulikuwa unalipa 100k itasalia hiyo hiyo ila Ili iwe 200k lazima awepo mwingine wa kulipa 100k nyingine.Naina kama vile umesogezewa kete ukakimbilia kuila, kumbe anakupanga akigeuze tutusa na kukupiga super. Kwani mapato hayo ya Arusha yenuewe hayahusisni na kupanda kwa dollar ukichukulia utalii ndiyo tegemeo kule?
Afya zinaendelea kuboreshwa,tena hakuna awamu sekta ya Afya imeboteshwa kama awamu ya Samia kuanzia majengo,watoa Huduma Hadi vifaa tiba.Inshu kwenye afya mkuu ndo muhimu Huku mtaani ni Hatar sana bora ingecheza na vyote Ila wangeweka unafuu kwenye afya basi cos ndo life
Inshu sio majengo huduma ziwe chin mkuuAfya zinaendelea kuboreshwa,tena hakuna awamu sekta ya Afya imeboteshwa kama awamu ya Samia kuanzia majengo,watoa Huduma Hadi vifaa tiba.
Serikali haijaisha hapo,ungesikiliza maelezo ya Meya utaona imepanga kufanya nini hapo Arusha.
Kata bimaInshu sio majengo huduma ziwe chin mkuu
Serikali haitoi Mapato mbinguni Bali Kwa watu yaani biashara Mpya au biashara zilizokua.Serikali mapato yanazidi wakati sisi huku biashara zetu zinakufa kwa kodi.
OK ila siku moja nenda pale muhimbil ndo utajua namanisha nin mkuuKata bima
Ngoja tuone maana kaingia na Royal tour ila wadudu watakuambia wanapambana bila ya serikaliTanga,Mbeya na Mwanza Sasa sijui wanakwama wapi ππππ
Nitakuelekeza kwa hesabu rahisi,Kwenye gharama za mradi Ina impacts,Hili la Mapato halihusiani na Dola.
Hujui,Ndio hayahusiani,maana kama ulikuwa unalipa 100k itasalia hiyo hiyo ila Ili iwe 200k lazima awepo mwingine wa kulipa 100k nyingine.
Sio tuu Arusha Hadi huko Msalalaππ
View: https://www.instagram.com/p/C5yA0OqK_vs/?igsh=NTA1Ymwzd2RuNzdl
Achana na tabia za kuamini hao wanasiasa wa CCM.Rais DK.Samia anazidi Kujipambanua na kujitofautisha na watangulizi wake Kwa kuacha alama.
Kutokana na sera yake ya kufungua Uchumi wa Nchi, Halmashauri ya Jiji la Arusha inatarajia kukusanya Mapato ya Shilingi Bilioni 60.6 ikiwa ni mara 2 ya makusanyo ya awali au sawa na ongezeni la zaidi ya asilimia π―.
Haya ni mafanikio makubwa ya kujua Kwa shughuli za kiuchumi na kuongeza Kwa mzunguko wa hela wa Jiji ambalo miaka iliyopita kilikuwa limepauka huku sekta yake kuu ya Utalii na Biashara za Huduma zikiwa zimedorora ,lakini chini ya mama hakuna vyumba vya hotels na lodges vyote vimejaa zikiwemo zile ambazo ziligunga.
Kwa mujibu wa meya wa Jiji Hilo, mabilioni hayo yanaenda kuleta mapinduzi makubwa kwenye Maisha ya watu kwani asilimia 80% ya Mapato yote yataenda kuboresha Huduma za Jamii na Uchumi za Wananchi wa Arusha.
View: https://youtu.be/5EjA-bQm73Q?si=iMX92jZDgyoLKFTD
My Take
Tuliwaambia Samia ni next level kwenye uchumi muwe mnaelewa.
View: https://www.instagram.com/p/C5yISLvqAGV/?igsh=ZGs5MTAwand4OWM0
Kinachojenga ni hela,Sasa hivi pesa ipo.Achana na tabia za kuamini hao wanasiasa wa CCM.
Yaani huyo Meya tangu mwaka 2020 alikuwa anasema stendi ya mabasi Arusha ilikuwa ijengwe na kukamilika kabla ya 2021. Pesa zimetolewa, wamezila, mwaka wa nne huu hakuna cha stendi wala kifusi cha kujenga stendi.
Acha porojo zisizo na msingi.Hayo inayoeleza wewe yanahisianaje na makusanyo kuongeza kutoka bil.30 Hadi bil.60?Hujui,
Shillingi ya Tanzania ikipoteza thamani dhidi ys shillingi nyingine kama $ au Shillingi ya Kenya inamaanisha utahitaji pesa nyingi zaidi za shillingi ya Tanzania kuagiza bidhaa unapoagiza bidhaa au huduma kutoka nje kwa hizo sarafu.
Usiogope lakini, kuanguka kwa shillingi kunaweza kuwa na faida kwa "wafanyabiashara" kama wanazalisha bidhaa na huduma nzuri zinazohitajika nje ya nchi kwa sababu huko nje ya nchi zinakuwa rahisi.
Acha kukurupuka, Halmashauri hazitozi ushuru au kupata makusanyo Yao Kwa utaratibu wa VAT kama TRA.Nitakuelekeza kwa hesabu rahisi,
Kama sukari Kilo 1 ilikuwa inauzwa Sh 2000 hapo VAT 18% ni Sh 360, ikipanda ikauzwa Sh 4000 hapo VAT 18% ni Sh 720, mapato yanaongezeka.