Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 486
- 1,237
Habari wapendwa!
Leo naomba kuwapeni tafakari kuhusu ushoga halafu nyinyi kama wataalam mtaona namna ya kuliweka kisomi.
Utaratibu wa kuwatahiri watoto wakiwa wachanga ni moja ya pigo kubwa sana linalochangia kuondoa uvumilivu katika nafsi ya mtu.
Iko hivi ujasiri ni mbegu inayopandwa na udhaifu ni mbegu inayopandwa!
Ingekuwa amri yangu ningepiga marufuku watoto wa kiume kutahiriwa kabla ya miaka 4.
Watoto wanapotahiliwa kuanzia umri huo na kuendelea huwa inawaongea sana (ulijali) ujasiri na uvumilivu katika maisha yao yote!
Ni vigumu sana watoto waliotahiliwa ukubwani kuja kuwa mabwabwa!
Hata wakibakwa kwa bahati mbaya lazima watadta matibabu ya kusafishwa ili wasiendelee na huo mchezo!
Lakini kuwatahili watoto wakiwa wachanga kwa maoni yangu! Wakifika ukubwanj ile roho ya ulijali inakuwa dhaifu sana kwao!
Bahati mbaya sana siku hizi mazoezi hayo yanasimamiwa na mama zao peke yao! Wazazi wa kiume mnawaachia jukumu hilo kina mama!
Kusema ukweli Ile roho ya ulijali ina milango ya kuingia! Moja ya mlango mhimu sana ni kupitia tohara, anaefanyiwa aone!
Msifikiri mababu wa kale walikurupuka! Sipingi njia za kizungu bali naomba wakati zinapotumika angalau mtoto awe anajitambua.
Mwanaume aliyetahiliwa ukubwani ana nafasi kubwa sana kuvumilia mikikimikiki katika kulinda uanaume wake