Hivi ndivyo Tanzania ilivyokufa kiume dhidi ya Nigeria (video goal)

Hivi ndivyo Tanzania ilivyokufa kiume dhidi ya Nigeria (video goal)

Shida ni kwamba kwa sasa hakuna timu laini utapangiwa mchanganyiko, tusipoweza kuifunga timu ngumu hata moja basi tutaendelea kujifariji tu.
SASA TUFANYEJE NA TIMU YETU MDAU?
 
Wameichezesha YANGA ktk kurasa za mbele na matokeo yake tukavuna tulichokipanda, sasa tena national team!
 
Mleta mada acha akili mgando na maneno maneno ya kipuuzi, kwanza kifo hakina jinsia lakini amka na utambue mpira ni sayansi, hayo maneno yenu ya magezetini Tanzania mbaki nayo majumbani kwenu, hata mpira huujui.
 
Back
Top Bottom