Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

a) HISIA ZA TENDO LA NDOA KWA MWANAUME:

Ssegito, Use nibonye.
au

b) HISIA ZA TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE:

Niangusage tu na ukinifanyia kitu chochote kibaya basi ujue ni Dhambi zako Mwenyewe.

c) (Niambie ni Kabila gani hilo?).
 
Kabila moja nchi jirani..Unaweka mtego(Nyama ya kuchoma/ndizi mbivu etc) then bibie akiingia kwenye 18 amekwisha! unamhukumu kwa sheria zako.Maandalizi yote ya mtego yanaleta hamasa kubwa hivyo hao jamaa hawachokani.
 
Hivi hakuna kabila linaongoza kwa ku-do zaidi mbali na misemo yao ya kuombea fair-play?
 
Duh!! Hilo kabila gan mwana liweke hadharani!!!
Inabidi kila siku waandae nyama,au mama akinunuliwa nyama ajue leo lazima atoe!!!

Kabila moja nchi jirani..Unaweka mtego(Nyama ya kuchoma/ndizi mbivu etc) then bibie akiingia kwenye 18 amekwisha! unamhukumu kwa sheria zako.Maandalizi yote ya mtego yanaleta hamasa kubwa hivyo hao jamaa hawachokani.
 
Duh!! Mimi nimefeli hebu rudi utujuze hili kabila!!

a) HISIA ZA TENDO LA NDOA KWA MWANAUME:

Ssegito, Use nibonye.
au

b) HISIA ZA TENDO LA NDOA KWA MWANAMKE:

Niangusage tu na ukinifanyia kitu chochote kibaya basi ujue ni Dhambi zako Mwenyewe.

c) (Niambie ni Kabila gani hilo?).
 
Duh!! Mimi nimefeli hebu rudi utujuze hili kabila!!
wanyalu hao, wanayo misemo mingi sana...enzi zetu wakati tunadondoshana kwenye mahindi kipindi mahindi yanachanua, na tumetoka kanisani kwenye kwaya lutheran...hahaha, utasikiak, be segito use twibanye...ndidaga kukubanya,...use tugite...misemo kibao...ila niliachaga miaka mingi sana maisha ya kihivyo...kwasasa nampenda Yesu.
 
hahahahah aisee, mnanivunja mbafu sangu hahahahah..... kweli JF ni kiboko hahahah
 
Kwe2:Maayo twibhone mkaya(mama 2onane ndani)
 
Wakurya:mamarhobi rara chini nikurenge

wamasai: mama yeyo nipe ile kitu namesa mwensake

Wahaya:mama koku infact njoo tu perform

Wachaga: mama Manka, fungua kibubu nitupe shillingi

Wapemba: Mama Aliii panua paja mti waja

Wazaramu, wakwere: Mama mwanahamisi eee mzizi maji huoooooo ebu nipe nafasi
 
Kokudo we si bado mdogo mbona wajifunza mambo haya?
Afu hii marudio hii.
 
hahahahaaa gaga umenichekesha mpaka nimemshtua jirani yangu hapa mwe!
 
hahahaaa aisee umenifanya nianze asubuhi vizuri.
 
Inavyoonekana uanfikiri lugha za mbalimbali zitakufanya uwe champion siyo? Unataka kutest makabila mangapi, au unpre-test ulijali wako?:twitch::twitch::laugh::laugh:
 
Sijawahi kuomba tendo la ndoa kwa my wife wangu

Always tunajikuta tupo on bed
 
Hivi siku hizi bado watu wakiwa kitandani wanaombana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…