Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

Mnyamwezi,yeye anasema "zogo tunkungule o nyabhu" akimaanisha njoo tumfungue nyau(paka)

Kwamba, nyau (paka) ndo......
Mmmm nauliza tu jamani. Manake na refer to de sread above.
 
Ha haaa hi nayo kali kwahiyo wanaongozana moja anaruka kama chura mwingine anataka kupaa, sibure ukiwakuta utasema wanawanga.

hahaha hahhah
usiombee uwakute....lakin mimi na eng smasher tutakualika uje ushuhudie inavyokuwa....karibu
 
Nipo tayari kuruka kichura chura!!!
Rose nikicheck Avatar yako ni kama 2po fac2fac unanikonyeza ati!!!

get prepayed face to face iz on the way...wakat unaruka ruka kichura ntakuwa nakutzama usoni...sound good?
 
Maami,

Hii sijawahi kuisikia.

Nilishawahi kusikia ya Kutongoza kwa Wasukuma "Nalikuchola Mayu, Kiyumbo Mayu........."

Sasa nimepata msamiati wa kumwamia mamaaa usiku wa leo " Nya wa Kapemba, Izu tumfungule nyau".

Ila mama akijibu "Ise wa Kapemba, mtwe walelo gusata"........mhhhh!?!?!?! yaani "Baba Kapemba, kichwa leo kinauma.
Mnyamwezi,yeye anasema "zogo tunkungule o nyabhu" akimaanisha njoo tumfungue nyau(paka)
 
More dan gud!!!!
Vipi 2kiwa 2naruka kichura 2takuwa 2shamaliza kutayarishana o straight kwenye tendo!!!

get prepayed face to face iz on the way...wakat unaruka ruka kichura ntakuwa nakutzama usoni...sound good?
 
Tendo la Ndoa kwa wanandoa katika Makabila tofauti huombwa kwa viashirio tofauti:

Msukuma: "Mama Kabula twendee tukhalimege litonge"

Mchagga: "We Mama Haika,uko wapi?? Ntaacha!!!"

Mkurya: "Rara chini nikurenge"

Mhaya: "Mama Koku if you are ready twende tuka-perform"

Mjaluo: "Twendege tukasukumane"

[FONT=verdana=FONT]Mmasai: "Mama Yeyoooo nataka ile amesa mwensake saa hii"

Mpare: "Mama Foibe thou nikakudenge"

Najua Tanzania ina Makabila mengi sana hebu ambayo sijayaweka tusaidiane kuyaweka hapa ili nasi tujue coz natarajia KUOA lakini sijui kabila gani !!!

[/FONT]
hahahahahahahahahahahhahah nimecheka sana ndugu zangu loh
 
Maami,

Hii sijawahi kuisikia.

Nilishawahi kusikia ya Kutongoza kwa Wasukuma "Nalikuchola Mayu, Kiyumbo Mayu........."

Sasa nimepata msamiati wa kumwamia mamaaa usiku wa leo " Nya wa Kapemba, Izu tumfungule nyau".

Ila mama akijibu "Ise wa Kapemba, mtwe walelo gusata"........mhhhh!?!?!?! yaani "Baba Kapemba, kichwa leo kinauma.

Mwisiane, na hii umeshaisikia? Nahaya kucha lulu e haha,zogo unijeke.Akimaanisha nataka kufa sasa hivi njoo unizike.
 
wanyalu wanasemaje? kabla ya kuwafukuza muda mrefu kama jogoo, kuwakamata, kuwadondosha chini...hee beee, sambi sako mwenyewe ujuwage ohoo. mi sitaki be.
 
dah
kikwetu mtu akitak unyumbabasi km ni demu anaanza kufanya km anaruka ivi km malaika anapaaa...
Km ni mwanaume basi anaruka ruka km chura basi unajua jamaa anataka...usiniulize kabila...m aafrican thats ol.
hakuna kabila kama hilo
 
babu; naja kumtembelea bibi leo
bibi; bibi leo anaumwa
babu;tatizo nini tena?
bibi;bibi toka usubuhi atapika
babu;chanzo nini?
bibi;mwezi umeandama
 
Back
Top Bottom