Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

HAKA achana nako!...FITINA MKUU!
nadhani unafahamu wazi huu ni mwaka 2010😀😀
Yaaa!

Tunachana nywele hata kama tuna vipara......😀😀😀!!!!!!

Jino Moja mswaki wa nini?

Usisahau kumwomba mshiki kiyumbo mayu leo usiku.......!!!!
 
"Mmasai".........."Mama Yeyoooo nataka ile namesa mwensake saa hii"
uwiiiiiii! yero larubu menye! wewe iko natania sisi!
 
Yaaa!

Tunachana nywele hata kama tuna vipara......😀😀😀!!!!!!

Jino Moja mswaki wa nini?

Usisahau kumwomba mshiki kiyumbo mayu leo usiku.......!!!!
ngoja niandike kwenye sms
 
mkuu Sikonge, hiyo Kiyumbo Mayu ndo kinanihii cha kufanyia nanihii au?
Nimependa hiyo, mi ntaanza kuitumia

mamaa kuba.....Kiyumba mayu bana!..fasta basi.

Ehh jamani:

Kuchora kwa Kisukuma ni kutafuta, kuomba. Mayu ni mama/dada.

Kuyumba ni kutembea. Hii ni kama unavyosema kwa Kiswahili kwamba "Asha binti MchekaOvyo katembea na Abdallah bin KichwaWazi".

Ukimwabia binti naomba kiyumbo, basi ujumbe utakuwa umefika.
 
Yaaa!

Tunachana nywele hata kama tuna vipara......😀😀😀!!!!!!

Jino Moja mswaki wa nini?

Usisahau kumwomba mshiki kiyumbo mayu leo usiku.......!!!!

I hate that one in red (in case umesahau)
 
Ehh jamani:

Kuchora kwa Kisukuma ni kutafuta, kuomba. Mayu ni mama/dada.

Kuyumba ni kutembea. Hii ni kama unavyosema kwa Kiswahili kwamba "Asha binti MchekaOvyo katembea na Abdallah bin KichwaWazi".

Ukimwabia binti naomba kiyumbo, basi ujumbe utakuwa umefika.

Ulikuwa wapi muda wote kiongozi? Tumezimisi sana hizi yuzifuli posti! Dah! Unafanikiwa sana kunivunjia mbavu zangu. LOLZ!
 
kwani nilikupiga makurufu kuwepo JF??
mbona wanitafutia ubaya lakini.....
Mamushka unakaba vibaya.
Afu mbona hujanipa za kule kwenu? lambertini alipotaka mchezo alikuambiaje?
 
Mamushka unakaba vibaya.
Afu mbona hujanipa za kule kwenu? lambertini alipotaka mchezo alikuambiaje?
mbona nilim-quote shemeji yangu Sikonge....thats how it goes pande za kina Sikonge!!
 
mbona nilim-quote shemeji yangu Sikonge....thats how it goes pande za kina Sikonge!!

Hehehe! Sikonge hapana! Simuwezi. Ananichekesha mpaka baaaaasi!
 
Ulikuwa wapi muda wote kiongozi? Tumezimisi sana hizi yuzifuli posti! Dah! Unafanikiwa sana kunivunjia mbavu zangu. LOLZ!

Mkuu, unafahamu tena kipindi hiki mazao mashambani yanaiva huku Sikonge, kazi zinakuwa nyingi sana. Hata sasa nimepita inabidi nipande kibaskeli niende Posta kutuma vibarua kwa ndugu na jamaa.

Pia kuna kimzigo kwa jamaa zangu Masanilo na Nyani Ngabu maana hawajafika huku siku nyingi na nimekamata kumbikumbi kidogo na kuchuma/kukausha uyoga wa bunsolele (viuyoga vidogovidogo vinaota kwenye vichuguu mara moja kwa mwaka). Nafikiri wakishapata hizo zawadi, hizo milioni watakazotuma kwa asante, zitatosha niongeze mke wa tatu, Inshallah.

Ukiwa nao wengi wala huna shida. Akiona mzee unakuja kwake anafahamu kuwa leo ni zamu yake kukuhudumia. Huhitaji kusema chochote. Masanilo na Nyani Ngabu mkipata tu kimzigo basi mnikumbuke mwenzenu huku Sikonge maana mke wa tatu ni muhimu ati agrrrrrrrr...... nyumba ya bibi inabidi tuiezeke nyasi na nyasi kipindi cha kuzikata kimekaribia.
 
Hehehe! Sikonge hapana! Simuwezi. Ananichekesha mpaka baaaaasi!

Chrispin, unaifahamu ile story ya Mchaga alipata ajali Ulaya na alipoamka akajikuta yuko hospital? Imekaa kama ile ya Mwanakijiji ya Kaka Jambazi........

Story hii ni ya IJUMAA....
 
Hiyo ni ndogo kwa wale ambao wakunga wao huja nyumbani mzee akiendakumsalimia mke utasikia; .... Be ndauli namunyi lifwahila ... Hapo mama wa kihehe anaelewa somo kinchofuata mtihani??? Tehe ehe kwa waliooa tu muhimu
 
wafipa ni noma zaidi!MWANAMKE kila akiamka anakuta kalowa.....!jamaa ni washirikina hadi kwenye tendo la ndoa😀😀
Nope. Mie mfipa! That is an outsider's skewed perspective! Umekariri kuhusu uchawi !-Huwa tunasema Mama weno yiza kuno! Yaani mama fulani njoo huku. Mzee anaitia chumbani!
 
Tukiwa tu na fikra tunduizi hayo yanawezekana kwani kutumia lugha ya picha ni jambo zuri zaidi, ila na walakini na utafiti wako. Imekaa ki vichekesho na utani zaidi
 
Back
Top Bottom