Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

rekordi zangu zinaniambia WANAWAKE WANAONGOZA KWA KUDUMISHA MILA!kuna formula moja ukiplug in statistical dataaz fulani utaona MADHARA YA KUDUMISHA MILA NA WATU WANAOKUMBWA NAO
mhhh? hapa sijakuelewa.am sloo lena.
 
hhehehehe!bela UNOGE?
hahahahaha!nziwiike kutaali saaana yani...!

avangi vitigila ''BELA NDE MUYAGO NGUKUDOBOKA KWELI YANI...!tulikibita ku-mahame tukasake nzagala?😀😀
hahahahaaa! kwenye red panahusika
 
rekordi zangu zinaniambia WANAWAKE WANAONGOZA KWA KUDUMISHA MILA!kuna formula moja ukiplug in statistical dataaz fulani utaona MADHARA YA KUDUMISHA MILA NA WATU WANAOKUMBWA NAO

Hommie hebu tema utirio hapa tuproove!🙄
 
hahahahaaa! kwenye red panahusika
HEHEHE!ndo zilikuwa zako eeh!masista wa makamadolesi WALIIPATA HABARI YAO😀😀

UNAMKUMBUKA MNYAMA WEWEEEEEEEEE?....
au wewe ulikuwepo enzi za CONTENA na WHITE?halafu nani alimzalisha white?😀
 
ha ha ha - wanyawezi wanayo mengi tu kama -

"we nyee wa kabemba - izuu unsunkumale kulase isonga"

ila kwa wasukuma - sidhani kama umepatia - inabidi uombe upewe sentensi yenyewe kamili.
 
HEHEHE!ndo zilikuwa zako eeh!masista wa makamadolesi WALIIPATA HABARI YAO😀😀

UNAMKUMBUKA MNYAMA WEWEEEEEEEEE?....
au wewe ulikuwepo enzi za CONTENA na WHITE?halafu nani alimzalisha white?😀
Sina uhakika kama namkumbuka mnyama

Lakini white wa jikoni namkumbuka sasa!
Duh! mimi bana...enzi zile acha kabisa.
white alizalishwa? sina taarifa hizo, lakini ni muhimu ukanieleza ni lini.
Suspects wapo bana, nawajua kabisa.
 
kuna jamaa yangu nilienda kumtembelea mahala hivi, nikalala kwake.
sasa usiku nikiwa chumbani, nikasikia akimwambia mkewe

Weee, njoo basi, mbona unaangalia TV tu mda wote mi nataka kulala.

nikajua eheeee!
 
white kuna watu walimdunga bwana!nakumbuka vizuri ni mwaka mmoja baada ya ninyi kuondoka alizaa😀😀😀
baba wa mtoto lazima anatokea darasani kwenu!

hahahahah!hivi ni nai uliyemwambia LETE HIYOOOOOO
 
icon10.gif

hahahaa! tusiweke hadharani watu wanaweza kunyimwa nanihii si unajua tarehe tayari?
jioni nitakutafuta kama upo town nikwambie over a flat bottle of Nyagi.
 
salam alekum wapwazwote hapa kwa maexpriensi!

hivi wapemba na wenyewe wanaombaje?
 
huyu sikonge anamaliza mbavu zetu!

hivi kule kigoma inakuwaje mkuu SIKONGE?

Daa, Geof naona Geografia huifahamu kabisa (Karume baharia alisema Geografia hajafika).

Sikonge ni wilaya ya Tabora kama unakwenda Mbeya na si Kigoma.
 
ha ha ha - wanyawezi wanayo mengi tu kama -

"we nyee wa kabemba - izuu unsunkumale kulase isonga"

ila kwa wasukuma - sidhani kama umepatia - inabidi uombe upewe sentensi yenyewe kamili.

Wasukuma wanasema:

" Nalikulomba Mayu, Kiyumbo Mayu......."
 
Kwani ina maana ni wanaume tu ndo wanaanzaga kuwataka wake zao? Mtupe na wanawake wanavyolianzisha
 
Kwani ina maana ni wanaume tu ndo wanaanzaga kuwataka wake zao? Mtupe na wanawake wanavyolianzisha
nadhani wakati mwingine si lazima kutamka maneno wakati unataka, vitendo vyenyewe vinatosha kufikisha ujumbe kuwa sasa mpenzi wangu nahitaji.........................
 
Back
Top Bottom