Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

Thread km hii zilishapita kibao humu. kw hesabu y haraka haraka ziko km 10 hiv! ht cjacheka.
 
Hayanihusu. Whatever alimradi kila cku watoto wanazaliwa. Hata vichaa nao. Lete kanuni ya shughuli.
 
WAHAYA:Mama koku infact njoo tuperform.

Tangia lini mhaya akaongea lugha ya kigeni??????????????? we are proud ethnicity...................please............
 
Wazaramo sie twasema 'mama wa toto hembu tukutanishe makojoleo yetu'.
 
Acha u puuuz jukwaa la ma great thnker ni la siasa hapa ni pumba tuuu......hhahaha i lk thz
 
Nimesikia hivi ndivyo wanaume wa makabila mbalimbali wanavyoomba wake zao tendo la ndoa:

WAPEMBA:Mame Ali panua paja nti waja!!
Je,kabila yenu linaombaje??????????
Kaka kwa wapemba..sina mbavu mieeeee...
 
mmmh, ngoja nimpigie babu kijijini nimuulize kuwa huwa "wanasiliananaje" na bibi then ntarudi wakuu, ok thread ni nzuri hata kama ikiwa imerudiwa,kwani server itajaa? hahaaa, hilo nalo neno ati, zije zakujirudia tutasoma na tutafurahi tu, hakuna jipya chini ya Mbingu.....
 
WAKURYA:Mama Bhoke rara chini Nikurenge

WAMASAI: Mama Yeyo nipe ile kitu namesa mwensake

WAHAYA: Mama Koku infact njoo tuperform

WACHAGA: Mama Manka fungua kibubu nitupe Shilingi

WAPEMBA: Mama Yusuph panua paja Mti waja!

WASUKUMA: Mama Masanja njoo tuunganishe makojoreo

JE kabila lenu huwa wanaombanaje?
 
Hahahahahahahahahahahahahahahaha
hapo kwa wapemba nusu univunje mbavu!
 
Hahahahah hiyo ya wasukuma lol na lafudhi zao tena hatariii
WAKURYA:Mama Bhoke rara chini Nikurenge

WAMASAI: Mama Yeyo nipe ile kitu namesa mwensake

WAHAYA: Mama Koku infact njoo tuperform

WACHAGA: Mama Manka fungua kibubu nitupe Shilingi

WAPEMBA: Mama Yusuph panua paja Mti waja!

WASUKUMA: Mama Masanja njoo tuunganishe makojoreo

JE kabila lenu huwa wanaombanaje?
 
mama nani njoo nikutoboe
mama nani njoo tulambane
mama nani njoo tulaliane
mama nani njoo tusuguane
mama nani njoo tusukumane
mama nani njoo tugeukiane
mama nani njoo tulaliane
mama nani noo tucheze mchezo kwa usiku
mama nani njoo tusheze mchezo wa baba na mama
 
Laaziz wangu,njoo chumban unilishe muhogo wako..nimeiandalia chachandu itakayo ukonga mtima wako.....- Mambo ya Pwani hayooo
 
mama nani njoo nikutoboe
mama nani njoo tulambane
mama nani njoo tulaliane
mama nani njoo tusuguane
mama nani njoo tusukumane
mama nani njoo tugeukiane
mama nani njoo tulaliane
mama nani noo tucheze mchezo kwa usiku
mama nani njoo tusheze mchezo wa baba na mama

Hawa watakuwa wazaramo tu..
 
Laaziz wangu,njoo chumban unilishe muhogo wako..nimeiandalia chachandu itakayo ukonga mtima wako.....- Mambo ya Pwani hayooo

ah mi nldhani wamakonde bwana, loi...,!
Katika makabila yanayonipa raha na kuwaenjoy mojawapo ni makonde, ila sio watani wangu tu.
 
Back
Top Bottom