Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

Hivi ndivyo tendo la NDOA linavyoombwa na baadhi ya Makabila

WAHAYA: Mama Koku infacti njoo tuperform

hahahaaaa!!! yaani nafa mie. JF Stress Free Zone.... (SFZ)
 
Ivo nyie wa humu MMU mumeumbwa kwa nini? Udongo au Moto ????
Mwenzenu sina Mbavuuuu!!
 
Hiv nyie humu mnaakili kwelii?eti mama bhoke raraa ni kurariie
 
Wakurya:mamarhobi rara chini nikurenge

wamasai: mama yeyo nipe ile kitu namesa mwensake

Wahaya:mama koku infact njoo tu perform

Wachaga: mama Manka, fungua kibubu nitupe shillingi

Wapemba: Mama Aliii panua paja mti waja

Wazaramu, wakwere: Mama mwanahamisi eee mzizi maji huoooooo ebu nipe nafasi
tehe teh teh teh! Hii ni the kalliest!
 
Back
Top Bottom