Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

subiria pullback utoke mkuu trend ni up NFP ndio iliiyumbisha tu kupelekea kusell
I could be wrong boss but 4H na Daily charts zinaniambia ni down trend, and I use to hold positions for some days. Plus fundamentally USD is vulnerable because of US- CHINA trade war on tarrifs, plus Canada had good Employment report today. I will exit when the price close above recent highs on 4H chartView attachment 736362
 
Nilishtukia hii janja siku nimeenda TMT nataka lipia training nalazimishwa nimtumie JP market doh nikawaomba nitumie broker wangu Dogo akakaza nikasema isiwe tabu nitasoma mwenyewe namshukuru Mungu nimepona hahaaa
 
Wewe huijua Forex so acha kuipaka matope .

Umeshindwa kuiweza forex so achana nayo .

Forex haipo kwa watu wote ila wachache wenye uelewa mpana wa kiakili na kisaikolojia

Kama hauko katika categories hizo acha kabisa haikufai .

Kuhusu ontario huyo jamaa amezingua sana so lawama ziende kwake sio kwa forex

Sisi tunaofanya na kupata faida hatuoni shida .

TMT na ontario hawakuonyesha kustick nabinu zipi mbaya zaidi system yao yankuwakusanya na kuwapa signal ilikuwa sio nzuri

Forex ni kama kilimounapewa jembe unaenda kulima hatuwezi kukupa jembe na mazao yake(signal)

So acha kuleta upambe nuksi
 
... hili suala alituficha but aliwahi kusema "Bob Marley you can fool some people for sometime but you can't fool all the people all the time"...

"You can fool some people all the time. You can fool all people some of the time. And that is enough for most purposes." ~ Anonymous.
 
Hata kuuza ndizi porini ni gambling tosha

Kilimo pia no gambling tosha kuna wadudu,mafuriko,ukame,wezi,moto,mfumuko wabei na.mambo mengi .

Biashara zote duniani zina risk hakuna iliyo salama

Baishara zinahitaji mbinu nzuri soko zuri ujuzi na mipango the same kwenye forex

Tatizo lenu watanzania ni watu wapuuzo wapuuzi tunaponda kila kitu kikikundee kombo hutaki hata kujua wapi umekosea .

Na wengi wetu hatufanikiwi sababu mnapenda kubadilika badili kila siku kama vinyonga .

Ontario na TMT ndio waliotufungua macho fursa ya forex ambayo nni kweli iko na uhalisi lakini system zao walizotumia kuwakusanya watu na kupiga hela zao imetia doa kabisa forex .

Hii inafanya hata sisi ambao tunaifanya na hatuhusiani na TMT tuonekane wale wale tu .

So Guys mjue kutofautisha katika ya Forex market na Ontario na TmT yake .

Fanyeni utafiti msiwe watu wa kuongea ongea.vitu msivyojua

Na mjifunze kutofautisha vitu

Watanzania ni watu waajabu sana aisee
 
Chief chief nimesema tokea mwanzo kuna kitu behind FOREX... .. kikubwa tu ndo maana nasema FOREX is like Betting.
 
naaam siumeona wenyew wamesema kuwa aliwaambia kwamba anawapiga ili aweze kulipia shughuli za uendeshaji kampuni yake
sasa angewaambia wangekataa!?..hiyo ni kujitetea tu!!..
 
Ndo maana nasema hujui Kitu kilicho nyuma ya FOREX.... kubali kupokea knowledge... otherwise Tulia ipenye
 
Boss hawa watu hawawexi kukuelewa kabisa mtu amasema stocks ni halali halafu Forex ni utapeli hahahah watanzania ni wapuuzi sana aisee

Tatizo ni elimu elimu elimu jamaani

Watanzania mabadiliko ya teknolojia yamewapitia kushoto wako kushangilia bombadia hahahahah

Mi naomba mlioshindwa forex mjichuje msepe mtuacha wachache wenye njia kabambe za kupiga hela .


Nasemaje achaneni na forex haiko kwa kila mtu bali kwa wachache tu wemye akili zinazojielewa

Scammers watawapiga sana hela ila forex itaishi .
 
...................................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…