Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
- Thread starter
-
- #641
Hawa jamaa wako vizuri na hili group lao la telegram wako very clean, transparency, no zone scammers its the great place to be a and learn and grow as a forex traders.
Shit happen mkuu yule dogo anajua kushawishi sana unajua hadi sasa kuna watu wanaomba alete mentor mpya ili waendelee kupewa signals? Hence aendelee kuzaa nao?Yani u guys nashindwa kuwaelewa kabisa,mlienda tmt ili mjifunze kuwa traders,sasa ikawaje tena mkawa mnaregemea their call??mlienda kujifunza nini??I wish nimuone huyu dogo,maana kila mtu anamlaumu yeye..
Dah aisee,do everything uweze kuwasaidia mkuuShit happen mkuu yule dogo anajua kushawishi sana unajua hadi sasa kuna watu wanaomba alete mentor mpya ili waendelee kupewa signals? Hence aendelee kuzaa nao?
Watu wako pale eternity.. Then nikiwaita misukule wananuna.
What I can only do to them..ni kuwaonesha tu wapi kuna shimo na namna ya kuliepuka but wanabaki na kauli ya mwisho ila hopefully wataamua maamuzi mazuri ya kutokubali kushikiwa akili na huyu Ontario.Dah aisee,do everything uweze kuwasaidia mkuu
OK. Umakini ni jambo muhumu sana.Be careful hawa jamaa wanasifika kwa kuwa scammer unaeza deposit na usione kitu
Matatizo ya instaforex nayo ni yapi tena mkuu hebu yachambue nipate mwanga?Instaforex ni sawa na JP Market wanalalamikiwa sana online kwa scamming activities zao.
So I approach them with a lot of cautions.
Wana mengi hawa sometimes huwa wana cancel your profit na kukubakizia initial investment yako tu kwa misunderstanding ndogo tu na wao.Matatizo ya instaforex nayo ni yapi tena mkuu hebu yachambue nipate mwanga?
Kuna ile system yao nimeona ya kuinvest inaitwa PAMM INVESTMENT unaiongeleaje ile na pia wana system ya kucopy trade zote unazizungumziaje ni bora au hasa tukianza na hii PAMM INVESTMENT unazizungumziaje kiongozi?Wana mengi hawa sometimes huwa wana cancel your profit na kukubakizia initial investment yako tu kwa misunderstanding ndogo tu na wao.
MT4 yao inafreeze na kusizi ukitaka kucut loss kama MT4 ya JP too.
But instaforex ni bora Mara sabini ya JP.
Sijawatafiti sana kwenye hizo angle but nikichimba zaidi nitakuja na fact in issue juu hizo programme zao.Kuna ile system yao nimeona ya kuinvest inaitwa PAMM INVESTMENT unaiongeleaje ile na pia wana system ya kucopy trade zote unazizungumziaje ni bora au hasa tukianza na hii PAMM INVESTMENT unazizungumziaje kiongozi?
Hapa najifunza vitu vingi sana aiaeeWana mengi hawa sometimes huwa wana cancel your profit na kukubakizia initial investment yako tu kwa misunderstanding ndogo tu na wao.
MT4 yao inafreeze na kusizi ukitaka kucut loss kama MT4 ya JP too.
But instaforex ni bora Mara sabini ya JP.
Watanzania hatuna tofauti na wafuasi wa kibwetere...hadi walipochomwa moto kanisani ndio wakajua jamaa alikuwa tapeli maana walimkabidhi mali zao zote.Me nashangaa mtu kusema namshukuru Ontario kwa kuleta forex dahhh yaan unamshukuru tapel wa kimataifa aliyewapiga vijana maskin na wazee wenye mlo mmoja kwa siku. . Hii dhambi lazm imtafune huyu Dogo.. machoz ya wanyonge hayawez potea hiv hiv....
HaaaahaaaaNa kweli mlipoitwa kwenye fursa mkakimbilia kuwa fursa Ontario akawatumia.
Poleni sana wazee wa kudownload pesa.