Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Hawa jamaa wako vizuri na hili group lao la telegram wako very clean, transparency, no zone scammers its the great place to be a and learn and grow as a forex traders.

Na Mimi nimo kwenye group lao since way back but hawanijui..I recommends this group..nice one very informative and sophisticated.

shukrani ulieleta link.
 
Yani u guys nashindwa kuwaelewa kabisa,mlienda tmt ili mjifunze kuwa traders,sasa ikawaje tena mkawa mnaregemea their call??mlienda kujifunza nini??I wish nimuone huyu dogo,maana kila mtu anamlaumu yeye..
 
Shit happen mkuu yule dogo anajua kushawishi sana unajua hadi sasa kuna watu wanaomba alete mentor mpya ili waendelee kupewa signals? Hence aendelee kuzaa nao?

Watu wako pale eternity.. Then nikiwaita misukule wananuna.
 
Dah aisee,do everything uweze kuwasaidia mkuu
 
What I can only do to them..ni kuwaonesha tu wapi kuna shimo na namna ya kuliepuka but wanabaki na kauli ya mwisho ila hopefully wataamua maamuzi mazuri ya kutokubali kushikiwa akili na huyu Ontario.
 
Instaforex ni sawa na JP Market wanalalamikiwa sana online kwa scamming activities zao.

So I approach them with a lot of cautions.
 
Matatizo ya instaforex nayo ni yapi tena mkuu hebu yachambue nipate mwanga?
Wana mengi hawa sometimes huwa wana cancel your profit na kukubakizia initial investment yako tu kwa misunderstanding ndogo tu na wao.

MT4 yao inafreeze na kusizi ukitaka kucut loss kama MT4 ya JP too.

But instaforex ni bora Mara sabini ya JP.
 
Kuna ile system yao nimeona ya kuinvest inaitwa PAMM INVESTMENT unaiongeleaje ile na pia wana system ya kucopy trade zote unazizungumziaje ni bora au hasa tukianza na hii PAMM INVESTMENT unazizungumziaje kiongozi?
 
Sijawatafiti sana kwenye hizo angle but nikichimba zaidi nitakuja na fact in issue juu hizo programme zao.

Sitaki kukurupuka mkuu.
 
Wana mengi hawa sometimes huwa wana cancel your profit na kukubakizia initial investment yako tu kwa misunderstanding ndogo tu na wao.

MT4 yao inafreeze na kusizi ukitaka kucut loss kama MT4 ya JP too.

But instaforex ni bora Mara sabini ya JP.
Hapa najifunza vitu vingi sana aiaee
 
Me nashangaa mtu kusema namshukuru Ontario kwa kuleta forex dahhh yaan unamshukuru tapel wa kimataifa aliyewapiga vijana maskin na wazee wenye mlo mmoja kwa siku. . Hii dhambi lazm imtafune huyu Dogo.. machoz ya wanyonge hayawez potea hiv hiv....
 
Watanzania hatuna tofauti na wafuasi wa kibwetere...hadi walipochomwa moto kanisani ndio wakajua jamaa alikuwa tapeli maana walimkabidhi mali zao zote.

But it was too late maana walishakufa tayari!
 
Back
Top Bottom