Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Ontario hafanyi training , hana issue za IB link's , hana habari za commission

he makes money trading forex , na ana pair moja tu kama main (GJ) na michepuko wawil Nasdaq na Usdzar.. full stop , nenda insta yake ana video kule kaweka (screen recorded) za trade za miez miwil nyuma.. dola 3000+ hadi dola 120k huko, hapo hapo ana account nyingine ambayo in zaid ya dollar lak 200k , kumchukia mtu ni uchaguzi wako ila kusambaza uongo sidhani kama ni sahihi broh , hafanyi hizo IB links, sijui commission, hafanyi

haya mambo yalifanyika kipindi cha TMT tu baaas
 
Huyo Ontario aliekimbia twitter ni Ontario wa wapi ? ni nani huyu katoa hii challenge?
 
Daaa mshkaji wewe kweli ulistahili ile laki.
Ni die hard fan [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Au ni wewe ontario kwa id ingine? [emoji28]
 
Hizi IB links, commission, training fees, na spread pips charge ndizo anazitafuta kwa Sasa sababu ndio ziliwafanya wapate faida ya nusu billion pale TMT kutoka kwa watu walio watrain kupitia hizo components nilizotaja hapo juu.

Nimefanya Forex muda mrefu nazijua tricks almost zote za hii biashara.

Na Kama angekuwa anapiga hela kweli angeendelea kutrade mwenyewe kimyakimya ili apate faida mwenyewe. Kwanini anawatafuta zaidi watu kwa nguvu zote kwenye social networks zote?

Hujiulizi kwanini hawafundishi watu kumix na kutengeneza chakula Cha kuku? Wakati yeye ni mtaalamu wa ishu hizo? Anachokitafuta kwenye Forex Ni watu hili awafukumue kwenye hayo madude hapo juu!

Imagine second batch gharama ya training kila kichwa ilikuwa 100,000/= na kwenye trainings kwa zile sessions alipata watu 1000 Sasa zidisha kwa 100,000×1000= 100,000,000= hii Ni net profit bila Kodi Wala VAT. Achana na IB links, spread charges, e.t.c

Unfortunately hela zote alikutana na wasauzi(wazulu) alokuwa anafanya nao kazi... nao wakapita na mkwanja wote akabaki na mavi tu tumboni. Nikamkuta KB Bar ya Tegeta anakula mishkaki ya jero jero. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ana haki ya kurudi tena kwa nguvu atafute makoro yake buku atangeneze milion 300,000,000= kwa mwezi mmoja. Just that! Na ingewezekana kwa nguvu ya kipawa cha ushawishi wa kitapeli aliyonayo tatizo hajui kuishi na watu vizuri ana kiburi, dharau, jeuri na maringo ambayo yatamchelewesha Sana kumfikisha kwenye climax Yake ya mafanikio maana Sasa Yuko busy kuharibu reputation yake badala ya kuijenga.
 
Daaa mshkaji wewe kweli ulistahili ile laki.
Ni die hard fan [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Au ni wewe ontario kwa id ingine? [emoji28]
[emoji23][emoji23].. namjua jamaa vizuri tu, sio wa kuhadithiwa
 
Mishkaki ya jero [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe HKL una maneno sana saza hapo KB bar si ungempa hata kakwenzi.
 
hiyo ilikua ni wakati wa TMT , sio sasahivi bro..

Na kuhusu swala la fursa, nenda kwenye page yake kule utakuta ame pini pale juu biashara ya mkonge , ni swala la ww ku copy na ku paste tu kama mtaji unao

for now hafanyi hayo unayoyasema , he bought share za kampuni fulan last year.. electric cars(sio tesla) share zake kwasasa zina value zaid ya dolla lak 500k , na hua anaweka kule ,

na sii lazima afundishe mtu kila kitu, hv unajua kuku wa nyama anafuga zaid ya elfu 20?? kwann ahangaike na laki moja ya mtu ? hafanyi training, hana habari za IB links wala commission, analima vitunguu, mpunga, mahindi. etc.tupambane kutafuta pesa na sio kuchafuana , haisaidii lolote, tujifunze kwa walio tutangulia vile vile uwe na siku njema
 
Reactions: amu
Mishkaki ya jero [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe HKL una maneno sana saza hapo KB bar si ungempa hata kakwenzi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] amu umeanza fujo na wewe.
Ilikuwa usiku nilimfuata nimsalimie tu. akanikimbia alikuwa kavaa koti la jeshi jeshi. Yaani alikuwa na wasiwasi Kama mwizi vile. Afu akadandia boda mbiooooo. Ikabidi ncheke tu. [emoji1787][emoji1787]
 
daah sasa wewe atashindwa kukuibia kweli?
Labda wewe ndio uwe Ontario ndo hatoweza kukuibia.
 
JF panataka adabu saana... Vinginevyo ukijisahaulisha unaadhirika mapeema.

Nasubiri akujibu mkuu. Alipata kazi ya kukata majani hapo Moro!? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unatatizo kwenye Ombwe wewe inauhusiano gani na suala uliloleta hapa.

Ulihisi humu kutakuwa na mbugira fataupepo jibu hoja unazoulizwa sio unarukaruka kipimbi.
 
Wewe jamaa
Wewe jamaa unautoto mwingi sana kumkuta KB Bar ndio hoja yako nini hapa...huna hoja zinazoeleweka nenda twitter huko kaendelee kutafuta follower hatugawi kiki hapa.
 
Duh "real die fans"

nimecheka sana !

vijana tunaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Nenda na miutopolo yako.

Uwezo wako mkubwa then unadai umetaperiwa 10M unaina sisi watoto.

Uwezo wakk mkubwa hadi leo unasema hujawa profitable usione utabuluza kilamtu humu labda huko twitter hili jukwaa.
Hela ya dhuluma haiwezi kumfikisha mbali.
 

🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yaan umerudi kidogo tu sina mbavu leo wewe
 
Aissee
 
Long Live ONTARIO..

Fx ndio imenifanya nipate Canadian VISA, mwaka uliopita nilitengeneza more than $28,000 hizo hizo ndio nikatumia kuonyesha ubalozi wakanipa VISA.

Wasaga meno endeleeni
 
Ndio maisha kula na kuliwa ni kawaida!
Kuwa makini na fursa nyepesi2 hamna fedha ipo ipo tu wekeza kwy elimu husika na zakuambiwa changanya na za kwako!
 
Long Live ONTARIO..

Fx ndio imenifanya nipate Canadian VISA, mwaka uliopita nilitengeneza more than $28,000 hizo hizo ndio nikatumia kuonyesha ubalozi wakanipa VISA.

Wasaga meno endeleeni
Kama hujui mambo ya multiple IDs za JF unaweza ukakubali ubazazi huu. Ila jamaa kawapiga sana, anaendelea kuumiza wengine kule twitter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…