Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Nakumbuka sana anko
 
Reactions: uth
sasa mkuu swali jepesi bado uko kwenye demo au live account
 
Ila mliopitia TMT na nyinyi ni wajinga wa kiwango cha 5G! Wewe unatrade na JP Markets lakini ukitaka kudeposit au kuwithdraw unapitia TMT what the f**ck! Halafu tangia lini uchaguliwe brocker? Tangia lini uwe trained kwa siku tano then unaambiwa uweke 200$ na wewe unakubali?

Poleni sana
 
Mbona unafanya vizuri hivi? But Fanya demo hadi uzoee manoeuvre ya market inavyobehave.
niko fresh sana kwenye demo ila sasa kwenye live huwa presha inapanda najikuta na lose. kuna siku kidogo nivunje lap top zaidi ya 1800 dollar zilipotea ghafla in 10hrs na account ikasoma 2.7 $
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…