Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
- Thread starter
- #561
Watu wanaomuamini Ontario. Ahahaha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda tu niwaambie kitu. Huyo jamaa kaharibu brand name yake kwa kujifanya IB but kafungua sana watu. kwa sasa watu wanatrade forex like no other, na watu wamejiunga mafunzo ya online kutoka south africa, USA, etc. Wanazidi kuingia kila siku, and amini usiamini miaka 2, 3 ijayo college dropout zitakuwa nyingi na zitakuwa zinaongezeka.
Unasema hakuna utajiri wa hivyo, kwa fikra zako upo sahihi, lakini kwangu mimi kama watu walioanza December sasa wameanza kutengeneza atleast dollar 300 kwa siku consistently things are not bad.
Mkuu hili Ontario hawezi kulikwepa ni kosa lake kabisa na hakuna cha Cre wala nani..Broker anajua Wateja huwa sio permanent asa newbie wakipigwa huwa hawafund na wengi wanaacha hivyo huwa hajali future na kwa hiyo ukija anakupasua mapema ili ukiondoka awe kashachukua pakubwa.Sijamtetea mkuu wangu ila nina taarifa za ndani kuwa Ontario waliwakiana sana na Cre kuhusu call zake zinazofanya watu wapoteze hela....ila nimesema siwezi kumwapia Ontario kuwa si sehemu ya watu kupoteza hela (yeye ndo anajua na Mungu wake na kama alileta hii kitu ili akawatapeli watu basi itamrudi big time maana kweli watu wamepoteza hela walizozipata kwa jasho sana sana sana na hilo haliwezi kwenda hv hv). Na kimsingi hzo allegations za jpmarkerts kuwa B book client wake sidhani kama zina ukweli maana endapo client watagundua kuwa broker anawa B book watamkimbia huyo broker na ndo utakuwa mwisho wake maana broker faida yake ipo kwenye spread, Swap na commission kama anacharge maana kuna broker wengine hawacharge commission.
Pole sana mkuu! Anasemaga for no reason...yaani ametutapeli for no reason. Ah ah ah ah!Yani mi hyo mtt Ontario sitaki hata kumsikia alichofanya I'm sure kitamrudia
Mkuu hili Ontario hawezi kulikwepa ni kosa lake kabisa na hakuna cha Cre wala nani..Broker anajua Wateja huwa sio permanent asa newbie wakipigwa huwa hawafund na wengi wanaacha hivyo huwa hajali future na kwa hiyo ukija anakupasua mapema ili ukiondoka awe kashachukua pakubwa.
95% huwa wanaquite forex kwa siku za mwanzoni tu..sasa unategemea broker atakuwa na mswalie mtume wakati anajua soon Wateja almost wote watapotea.
Watu wanaomuamini Ontario. Ahahaha!View attachment 737313
Nadhani utakuwa msukule wa Ontario mkuu ambae bado anascratch kutoka tunduni..hivi unajua dola 100 za watuw wote wa TMT ni kiasi gani? Unadhani mfanyabiashara anataka hela kubwa sana kupata faida ni hizi hizi 100 mia zetu..matter of fact Mimi nimepigwa milion kadhaa.Hela gani hzo ambazo unasema Jpmarkets angewapiga client wa Tanzania...hvo vidola mia mia maana wengi tulikuwa tunaanza na dollar mia. Siamini hilo na kama ingekuwa hvo sasa broker akibaki na pros tupu ambao kimsingi ni wachache sana ataendeshaje maisha?? Na nimesema Ontario hakufanya homework yake vzuri kwenye kutafuta mentor ndo maana yamefika hapa yalipofika ila angekuwa na mentor mzuri wala yasingefika huku,
Buy hold wait for better price. Hata biashara ya maharage, mahindi, unga inafata principle hiyo. Je biashara ya mazao ni kamali?Forex ni kamali tu. Hakuna neno zuri zaidi ya hilo. Buy hold wait for better prices then sell. Hii ni gambling
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dahWatu wanaomuamini Ontario. Ahahaha!View attachment 737313
Naamin haya ni majibu tosha. Naamin asilimia kubwa ya watu walienda kufundishwa kabla hawajajielimisha vya kutosha. Mi nimekomaa na kitabu tangu juni 2017 mpaka decemba.Kilichowaponza wengi Fx ni kukosa subira, kukurupuka kuanza kabla ya kupata maarifa ya kutosha
Its an addiction hata Mimi siachi ila tujaribu kuexpose sana hawa wababaishaji ili game iwe clean tusionekane watu wa Forex ni matapeli na misukule.Buy hold wait for better price. Hata biashara ya maharage, mahindi, unga inafata principle hiyo. Je biashara ya mazao ni kamali?
Afadhari ya forex ambayo unabenefit wakati wa uptrend na downtrend. Siachi forex asee
Ahahaa kabsa asee sema sio mbaya game tushalijua wacha tupambane one year to come mbona tutaongea nae lugha moja tu and he will never be our hero coz amejiharibia sana legacy yakePole sana mkuu! Anasemaga for no reason...yaani ametutapeli for no reason. Ah ah ah ah!
Hii dosari aliyojiwekea ni mbaya sana..you can't be hero in this way..it doesn't work like that.Ahahaa kabsa asee sema sio mbaya game tushalijua wacha tupambane one year to come mbona tutaongea nae lugha moja tu and he will never be our hero coz amejiharibia sana legacy yake
For sure manHii dosari aliyojiwekea ni mbaya sana..you can't be hero in this way..it doesn't work like that.
Traitors can't be hero!
Nadhani utakuwa msukule wa Ontario mkuu ambae bado anascratch kutoka tunduni..hivi unajua dola 100 za watuw wote wa TMT ni kiasi gani? Unadhani mfanyabiashara anataka hela kubwa sana kupata faida ni hizi hizi 100 mia zetu..matter of fact Mimi nimepigwa milion kadhaa.
Hivi unajua kwamba sisi kwa JP tulikuwa na server yetu kabisa ya Watanzania tuna spread zetu tofauti kabisa na wengine? Kwanini hii? Kwenye forex kuna magroup losers and consistently winners..hopefully sisi tulikuwa kwenye group la losers ambalo Broker huwa anacheza nalo ili apige mega profit.
Huu mchakato uligubikwa na walakini, top secret, conspiracy of silence, greedy e.t.c kwa kiasi kikubwa mzawa.
The truth has to be spoken.
Achana na Cre yeye ni mzigo wote tunajua hilo.MKUU wala mm sio msukule wa ontario na cre wake na jpmarkerts wake maana niliacha kumtumia Jpmarkerts mwezi mmoja tu baada ya kuanza kutrade live na hata Cre alilijua hilo na nikamwambia kama anataka niendelee kutrade na jpmarkets basi wapunguze spread..akanitishia kunitoa kwa group nikamwambia anitoe. Baada ya mwezi zaidi nikajitoa mwenyewe baada ya kuona call zake hazina maana zaidi ya loss tu. Kwa hyo nilijitoa kwa group la TMT January mwaka huu. Kimsingi narudia tena Cre ni mweupe kwenye forex that all I can say...na kama uhamini we tafuta mentor mwingine mzuri...na endelea kutrade na jpmarkets na utapiga hela kama kawaida....hakuna cha B Booking wala nn ishu ni kwamba Cre ni gambler sio trader PERIOD.
Hizo dola 100 x watu 1000= 100,000usdHela gani hzo ambazo unasema Jpmarkets angewapiga client wa Tanzania...hvo vidola mia mia maana wengi tulikuwa tunaanza na dollar mia. Siamini hilo na kama ingekuwa hvo sasa broker akibaki na pros tupu ambao kimsingi ni wachache sana ataendeshaje maisha?? Na nimesema Ontario hakufanya homework yake vzuri kwenye kutafuta mentor ndo maana yamefika hapa yalipofika ila angekuwa na mentor mzuri wala yasingefika huku,
Sure things mkuu na watu 1000 hawa ni robo tu ya clients wa Dar..kuna wa Mwanza, Arusha, e.t.cHizo dola 100 x watu 1000= 100,000usd
Kwa exchange rate ya Leo Usd 1= 2230watutsh
Malizia mahesabu ujue kiasi gani kavuna
Aiseeeh hii ni breaking news ngoja niitafutie PRess cONFERENCE....Achana na Cre yeye ni mzigo wote tunajua hilo.
Nimekuuliza kwamba hivi unajua sisi Watanzania tuna server yetu maalumu kwenye system ya JP Market? Na spread zetu ni tofauti kabisa na za wengine? Wasauzi wakiwa na haueni huku sisi tumewekewa mzigo mkubwa bila ridhaa yetu?
Why did they do this to us? What was the reasons behind?