Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Baniani mbaya kiatu chake dawa!
Mkuu tangu uanze umepata faida dollars ngapi kwa mtaji kiasi gani
Mkuu ukijua faida yangu itakusaidia nini mzee baba,

Unachotakiwa kujua je ni kweli forex ni real na unaweza kutengeneza pesa?

Ukishajua hapo baasi mambo mengine yanakuja

Suala la kutengeneza pesa hilo ni la mtu na mtu

Kuna watu wametengeza zaidi ya million(USD) kwa mtaji wa 100Usd

Na kuna watu wamepoteza pesa nyingi sana so ni wewe na discipline yako + patience
 
Kaka apa unatudanganya hamna mtu alieweza fikisha million usd kwa mtaji 100USD
 
Sure things mkuu na watu 1000 hawa ni robo tu ya clients wa Dar..kuna wa Mwanza, Arusha, e.t.c

Tumewatajirisha sana basi tu hawana shukrani.
Ni kweli server zetu pair zilikuwa mtindo huu EURUSD- badala ya EURUSD pasipo na alama ya deshi na nilichunguza hizi pair zina spread kubwa kuliko hizo zisizo na deshi hizo server si kwa ajili ya TZ bali wale client wa TMT kwa lengo la monitoring pale mtu ukipost trading results ukiwa na pair zisizo na desh wanajua hautrade na jpmarkets kupitia ile link ya kujiungia kwa broker waliyotoa na piaa kuwachangia spread yaani TMT wanafanya upatu ndani ya forex
 
Ni kweli server zetu pair zilikuwa mtindo huu EURUSD- badala ya EURUSD pasipo na alama ya deshi na nilichunguza hizi pair zina spread kubwa kuliko hizo zisizo na deshi hizo server si kwa ajili ya TZ bali wale client wa TMT kwa lengo la monitoring pale mtu ukipost ukiwa na pair zisizo na desh wanajua hautrade na jpmarkets kupitia ile link ya kujiungia kwa broker na piaa kuwachangia spread yaani TMT wanafanya upatu ndani ya forex
Hii dhambi itamtafuna Ontario + ile dharau, majivuno na kujiona ana kazi ya ziada sana kujisafisha...
 
Ni kweli server zetu pair zilikuwa mtindo huu EURUSD- badala ya EURUSD pasipo na alama ya deshi na nilichunguza hizi pair zina spread kubwa kuliko hizo zisizo na deshi hizo server si kwa ajili ya TZ bali wale client wa TMT kwa lengo la monitoring pale mtu ukipost ukiwa na pair zisizo na desh wanajua hautrade na jpmarkets kupitia ile link ya kujiungia kwa broker na piaa kuwachangia spread yaani TMT wanafanya upatu ndani ya forex
Daah! Umenifumbua macho nilikuwa sijanote hii mkuu!

Na nilikuwa najiuliza wanajuaje kama hutrade nao? Now I know.
 
Kaka apa unatudanganya hamna mtu alieweza fikisha million usd kwa mtaji 100USD
Mkuu usibishe kama unaweza fanya calculation ya kuzalisha 5% tu ya mtaji wako weka kwa siku 240 za kutrade kwa mwaka

Forex its all about discipline brother

Lazima uwe na malengi ya muda mrefu kama miaka miwili au mitatu you will be far away

Sasa wewe kama una 100usd halafu baada ya siku mbili iwe 2000 hapo ndo kuunguza acc kunakujaga
 
Blaliful[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahahaha! Ili tusi huwa refu sana mdingi angu alikuwaga colonel mkoloni sana alikuwa analitumia sana...ukimuudhi utasikia "Porokodiomadonna...nyumbu ndaya..anamalizia na Blalifuli" Basi Mimi sina mbavu licha ya maumivu ya stick za mdingi..!

It was fun though!
 
Mkuu usibishe kama unaweza fanya calculation ya kuzalisha 5% tu ya mtaji wako weka kwa siku 240 za kutrade kwa mwaka

Forex its all about discipline brother

Lazima uwe na malengi ya muda mrefu kama miaka miwili au mitatu you will be far away

Sasa wewe kama una 100usd halafu baada ya siku mbili iwe 2000 hapo ndo kuunguza acc kunakujaga
Hizo calculation za 5% kila siku sio realistic kabisa
Magwiji huwa wana target 30%-50% kwa mwaka, na miaka mingine huwa down zaidi ya 10%.
 
Back
Top Bottom