Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Hivi ndivyo tulivyotapeliwa na Ontario wa TMT kwenye Forex

Hata kuuza ndizi porini ni gambling tosha

Kilimo pia no gambling tosha kuna wadudu,mafuriko,ukame,wezi,moto,mfumuko wabei na.mambo mengi .

Biashara zote duniani zina risk hakuna iliyo salama

Baishara zinahitaji mbinu nzuri soko zuri ujuzi na mipango the same kwenye forex

Tatizo lenu watanzania ni watu wapuuzo wapuuzi tunaponda kila kitu kikikundee kombo hutaki hata kujua wapi umekosea .

Na wengi wetu hatufanikiwi sababu mnapenda kubadilika badili kila siku kama vinyonga .

Ontario na TMT ndio waliotufungua macho fursa ya forex ambayo nni kweli iko na uhalisi lakini system zao walizotumia kuwakusanya watu na kupiga hela zao imetia doa kabisa forex .

Hii inafanya hata sisi ambao tunaifanya na hatuhusiani na TMT tuonekane wale wale tu .

So Guys mjue kutofautisha katika ya Forex market na Ontario na TmT yake .

Fanyeni utafiti msiwe watu wa kuongea ongea.vitu msivyojua

Na mjifunze kutofautisha vitu

Watanzania ni watu waajabu sana aisee
Nyie endeleeni tu kudownload hela.
 
Lakini, kama amewaliza why don’t you sue him?

Risk Warning: Trading financial products on margin carries a high degree of risk and is not suitable for all investors. Losses can exceed the initial investment. Please ensure you fully understand the risks and take appropriate care to manage your risk

Hyo kitu mpaka kwenye fomu za kujiunga ilikuwepo...How do you sue him...hapa ni kukubaliana na hali tu kisha unasonga mbele..Akipata wakili mzuri humfanyi chochote.. Itakuwa kama ile kesi ya mtoto wa kike aliyedai alilazimishwa kutembea na mbwa na mzungu..nadhani unakumbuka jinsi Masumbuko Lamwai alivyoimaliza kibingwa na mdada akaonekana alikuwa Ka.....ba fulani tu.
 
I'm from the street nigga..talking about street justice and shiit. Ahahaha

But its true kuna Bonge la gap la kushinda na kupiga hela once ishu ikifika kortini maana dogo kaviolate mengi sana kwanza kutuongezea spreads wateja wake bila ridhaa yetu its against our contract.

Kutuweka kama IB link it wasn't in our willing?

E.t.c

Where the lawyers at?

Stop flinging excuses.

Go to court and sue him.
 
Hiyo Risk Disclaimer haina uhusiano wowote na kilichokuwa kinafanywa na wakina Ontario..

Ontario na genge lake walikuwa wanafanya uhuni,ujambazi,utekaji,uharamia,ufisadi,uchawi na utapeli uliotukuka mbinguni na katika sayari zote.

Hiyo Disclaimer haijasema mtu atapeliwe.No. ila ni tahadhari ya jinsi biashara ilivyoshamiri kiwango kill kikubwa cha uncertainties.

Watu kama.Ontario na genge lake wapo ulimwengu mzima hata huko uelewa wa watu kuhusu forex upo kwa kiasi kikubwa. Wengi wapo jela kwa ujanja kama wa hao matapeli.

Hii nitaarifa ya FBI kuhusu jamaa mmoja aliepigwa miaka 14 kwa utapeli wa forex huko marekani
https://archives.fbi.gov/archives/c...hat-caused-343-investors-to-lose-17.6-million

Ontario na genge lake walikuwa wanafanya uhuni,ujambazi,utekaji,uharamia,ufisadi,uchawi na utapeli uliotukuka mbinguni na katika sayari zote.

Duuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Mzawa huwa Nakuelewa sana una sijui niuite uimara sijui niite weakness.. But una kitu kimoja kizuri kwangu na kwa binadamu yeyote yule atakipenda "impartiality" haunaga upande unasimamaga Kwenye facts in issue.

Nimependa maandishi yako.
 
Risk Warning: Trading financial products on margin carries a high degree of risk and is not suitable for all investors. Losses can exceed the initial investment. Please ensure you fully understand the risks and take appropriate care to manage your risk

Hyo kitu mpaka kwenye fomu za kujiunga ilikuwepo...How do you sue him...hapa ni kukubaliana na hali tu kisha unasonga mbele..Akipata wakili mzuri humfanyi chochote.. Itakuwa kama ile kesi ya mtoto wa kike aliyedai alilazimishwa kutembea na mbwa na mzungu..nadhani unakumbuka jinsi Masumbuko Lamwai alivyoimaliza kibingwa na mdada akaonekana alikuwa Ka.....ba fulani tu.

Kama ni hivyo basi hakuna utapeli uliofanyika, siyo?
 
Former Forex Trader Sentenced to 14 Years in Prison for Trading Fraud Scheme That Caused 343 Investors to Lose $17.6 Million
U.S. Attorney’s Office November 15, 2012
  • Northern District of Illinois (312) 353-5300
CHICAGO—A U.S. citizen who operated a foreign currency trading fraud scheme while living in Panama was sentenced today to more than 14 years in federal prison. The defendant, Jeffery Lowrance, fraudulently obtained approximately $31 million from 452 investors. After deducting Ponzi-type payments that he made to some investors, the scheme resulted in losses totaling approximately $17.6 million to 343 investors nationwide, including Chicago, when it collapsed in 2009. Lowrance was arrested in February 2011 in Peru and extradited to Chicago.

Lowrance, 51, moved to Panama in approximately 2006 and he operated the fraud scheme from Panama City until approximately 2009, before fleeing to Peru. He pleaded guilty to one count each of wire fraud and money laundering this past July. He was sentenced to 170 months in prison and ordered to pay restitution totaling $17.64 million by U.S. District Judge Charles Norgle.

Lowrance “caused enormous pain and suffering to many of the victims. [He] took life savings, retirement funds, college tuition, and other money that victims had earned, inherited, or received through the sale of a business or an insurance settlement,” the government argued at sentencing.

The sentence was announced by Gary S. Shapiro, Acting United States Attorney for the Northern District of Illinois; William C. Monroe, Acting Special Agent in Charge of the Chicago Office of the Federal Bureau of Investigation; and Thomas Jankowski, Acting Special Agent in Charge of the Internal Revenue Service-Criminal Investigation Division in Chicago.

Lowrance owned Mentor Investing Group Inc., initially located in San Diego and later Panama City, Panama. He later owned and was chairman and chief executive officer of First Capital Savings & Loan Ltd., which he incorporated in 2007 in New Zealand and which took over Mentor’s purported business and investor accounts. Both businesses claimed to buy and sell foreign currencies (Forex trading) and offered and sold investments through a network of salesmen and investor referrals.

According to the court documents, between August 2004 and June 2009, Lowrance and others at his direction fraudulently solicited investments by making material misrepresentations about, among other things, the profitability of First Capital’s Forex trading, the expected return on and risk involved with the investments, and the use of funds raised from investors. To conceal the fraud, he made Ponzi-type payments to investors and provided investors with fraudulent account statements. Among the specific misrepresentations was that investors would be paid as much as four to seven percent interest per month on their investments.

Lowrance used only a small portion of investors’ funds to do Forex trading. In addition to making Ponzi-type payments to investors, he misused investors’ funds to pay First Capital’s expenses, expenses of unrelated business ventures including a newspaper, and to make payments for his own benefit as the benefit of his family and associates.

The government was represented by Assistant U.S. Attorney Jacqueline Stern.

The case falls under the umbrella of the Financial Fraud Enforcement Task Force, which includes representatives from a broad range of federal agencies, regulatory authorities, inspectors general, and state and local law enforcement who, working together, bring to bear a powerful array of criminal and civil enforcement resources. The task force is working to improve efforts across the federal executive branch and, with state and local partners, to investigate and prosecute significant financial crimes, ensure just and effective punishment for those who perpetrate financial crimes, combat discrimination in the lending and financial markets, and recover proceeds for victims of financial crimes. For more information on the task force, visit: www.stopfraud.gov

Note: Hapo nilipo-underline na kubold pameniuma kweli kweli maana ndo watu walichofanyiwa na TMT
 
Mzawa huwa Nakuelewa sana una sijui niuite uimara sijui niite weakness.. But una kitu kimoja kizuri kwangu na kwa binadamu yeyote yule atakipenda "impartiality" haunaga upande unasimamaga Kwenye facts in issue.

Nimependa maandishi yako.
Asante sana Mkuu,

Nakupongeza sana kwa kuibua kama si kufokonyoa taarifa hizi "kuntu" na sasa kila mtu anajua kinachojiri pale Jangid.

Jah bless you mzazi. Mimi bado ni Newbie najifunza na kutrade demo na live account mara chache.Nipo kwenye learning stage tangu mwezi November,2017.

Nauhakikishia umma na dunia laiti ningekuwa miongoni mwa waliotapeliwa na ile ofisi ya Jangid kitambo sana tungekuwa tumeshakutana Kisutu Court.
 
Kama ni hivyo basi hakuna utapeli uliofanyika, siyo?
Its not about the disclaimer, its about the process of doing trades and contract which was violated.

Nimekwambia kuongeza two pips spreads without our consent it's wrong and against the law.

Kutuunga kaka IB link without our consents is illegal.

Kutuletea incompetent and inexperienced mentor is illegal.

Kutupa shallow and primitive training ya siku tano eti tuwe professional ni sawa na mgambo kuwapa training ya wiki then uwapeleke vitani...utashtakiwa kwenye mahakama ya kijeshi kwa murder case ya kusababisha mauji kwa kudhamiria.

The guy is fraudulent and criminal.

E.t.c
 
Asante sana Mkuu,

Nakupongeza sana kwa kuibua kama si kufokonyoa taarifa hizi "kuntu" na sasa kila mtu anajua kinachojiri pale Jangid.

Jah bless you mzazi. Mimi bado ni Newbie najifunza na kutrade demo na live account mara chache.Nipo kwenye learning stage tangu mwezi November,2017.

Nauhakikishia umma na dunia laiti ningekuwa miongoni mwa waliotapeliwa na ile ofisi ya Jangid kitambo sana tungekuwa tumeshakutana Kisutu Court.

Tusaidie Mkuu wengine hatujua pa kuanzia
 
Its not about the disclaimer, its about the process of doing trades and contract which was violated.

Nimekwambia kuongeza two pips spreads without our consent it's wrong and against the law.

Kutuunga kaka IB link without our consents is illegal.

Kutuletea incompetent and inexperienced mentor is illegal.

Kutupa shallow and primitive training ya siku tano eti tuwe professional ni sawa na mgambo kuwapa training ya wiki then uwapeleke vitani...utashtakiwa kwenye mahakama ya kijeshi kwa murder case ya kusababisha mauji kwa kudhamiria.

The guy is fraudulent and criminal.

E.t.c

If he is all that then sue his ass. You have the legal recourse. So why not utilize it in a meaningful way instead of coming here and cry about it?
 
If he is all that then sue his ass. You have the legal recourse. So why not utilize it in a meaningful way instead of coming here and cry about it?
It makes a lot of sense. I'm starting to consider your way foward.

Legal dispute will be fine but let's expose this to the people and make him famous in a negative way..coz he deserve it.
 
Its not about the disclaimer, its about the process of doing trades and contract which was violated.

Nimekwambia kuongeza two pips spreads without our consent it's wrong and against the law.

Kutuunga kaka IB link without our consents is illegal.

Kutuletea incompetent and inexperienced mentor is illegal.

Kutupa shallow and primitive training ya siku tano eti tuwe professional ni sawa na mgambo kuwapa training ya wiki then uwapeleke vitani...utashtakiwa kwenye mahakama ya kijeshi kwa murder case ya kusababisha mauji kwa kudhamiria.

The guy is fraudulent and criminal.

E.t.c

Mkuu mbona uko nondo sana kwenye mambo ya sheria...Twende mahakamani bwana tuache kujificha kwenye fekero na kulalamikalalamika tu...haisaidiiiiiii
 
It makes a lot of sense. I'm starting to consider your way foward.

Legal dispute will be fine but let's expose this to the people and make him famous in a negative way..coz he deserve it.

Listen, if I were you I’d quietly explore my legal options first before I come here and throw accusations.
 
Mkuu mbona uko nondo sana kwenye mambo ya sheria...Twende mahakamani bwana tuache kujificha kwenye fekero na kulalamikalalamika tu...haisaidiiiiiii
Ni kweli huyu nikimburuza mahakamani anapanda karandinga kirahisi sana na fidia anatulila ya kutosha tu.

The idea is to make him famous but this time in negative way to rescue others.
 
Back
Top Bottom