Mkuu usitake kutuvuruga nimekutafsiria hiyo disclaimer inamaanisha nini ila naona unazidi kujitia upofu huelewi. Na nimekuwekea mpaka link ya mtu aliekuwa tapeli huko USA katika forex na kifungo cha miaka 14.
Sasa kama unatetea wateja hawakushikwa mikono kwenda TMT kutrade na unazidi kutetea hiyo Risk Disclaimer, unadhani huyo aliefungwa marekani wateja wake walikuwa hawajui hiyo risk disclaimer???
Acha kufananisha RISK na SCAMM. Hapa hatuzungumzii Risk na hakuna Forex trader asiejua kuwa forex ni biashara yenye highy risks(Labda hao wanafunzi wa Jangid walifunzwa forex sio high risk business).
Hapa tunazungumzia Scamm yaani utapeli. Kitendo cha kuongeza spreads kwa nchi kama marekani sasa hivi angekuwa jela muda mrefu sana.
Pitia hapa tena uone matapeli wa forex wanavyosombwa huko USA kila siku. Wale wa Jangid hawajaamuliwa tu.
Dozens of forex traders arrested