Moshi wa Kumbi
Senior Member
- Feb 24, 2016
- 165
- 100
Hapa hutapeliwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una poteza mdaa hii site naijuaa ikegawanyika mara 5 na server ni moja. Wajinga sana hapoHapa hutapeliwi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anakula sahani moja na kigogo huko tweeter
Kuna nini mbona sielewi..? Hebu tujuzeni Kuna mtu mchuzi umemwagika au..??Kigogo asante kwa kunileta huku.. ngoja nirudi twita kushuudia mtanange
Kunani huko Twitter na huyo kigogo pamoja na forex..??Kigogo kanileta hapa. Wangapi tumeletwa na Kigogo?
Kigogo kapigwa makonde ya usoKunani huko Twitter na huyo kigogo pamoja na forex..??
Hebu funguka vizuri mkuu..Kigogo kapigwa makonde ya uso
Mm piaKigogo kanileta hapa. Wangapi tumeletwa na Kigogo?
Ikowapi link..??Kuna vita twitter ndio nimeona link hii.... poleni sana wandugu
Lazima Jeff apotee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutafuta ugomvi na kigogo Ni hatari kwa afya yakoIla jamaa wa forex kaanza mitusi toka juzi kwa IT leo katumwa na serikali kumchokonoa kigogo sijui kama hii vita sirJeff atashinda
Kumbe vita ya tokea juzi.Ila jamaa wa forex kaanza mitusi toka juzi kwa IT leo katumwa na serikali kumchokonoa kigogo sijui kama hii vita sirJeff atashinda