Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

Hovering

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
275
Reaction score
912
Salaam wadau,

Maisha yanatupa zoefu nyingi sana, zenye matokeo chanya na wakati mwingine zinaweza kukuachia alama ya uchungu isiyosahaulika. Mara nyingi sio kwa kupenda au kuridhia maisha automatically yanakupa darasa. Hiki ni kisa Cha ukweli.

Nitajaribu kuweka wazi mambo magumu ili upate picha japo kwa kusoma. Nikusihi tu soma na chukua machache kwajili ya kuboresha mahusiano Yako. Wala usinijaji kwa yaliotokea maana huko nilishatoka 6 years back na sijutii. Toba ilishamaliza kila kitu. Twende kazi.

Miezi miwili tu baada ya kumaliza elimu ya juu nipo home mark timing ndio nakutana na aliyefanya niandike huu Uzi. Tulikutana dukani mtaa Mmoja, wakati Mimi nafika yeye alikua akisubiri chenji/chenchi yake. Muuzaji alitoka kidogo ikabidi nimuulize yeye sasa. "Habari Yako, huyu yupo wapi ?". Akanijibu. " ametoka kidogo kufata chenchi anarudi sasahivi". Hili duka lilikua ndani ya mji wa mtu, unaelewa sikuhizi unajenga nyumba Yako na frame kadhaa mbele yake. Ndivo ilivokua.

Mimi sikuona Haya kuanzisha stori nae ili kubuy time. Mimi " sorry wewe ni mwenyeji huu mtaa ?" Huyu dada naomba tumuite Recho. Akanijibu "Ndio mi nikaa hapo tu jirani, na wewe ?". Mimi "Me pia nyumba ya tatu kutoka hapa". Recho " ooh! Kumbe tupo jirani... sasa mbona Mimi sijawahi kukuona na kwangu we ni mgeni kabisa". Nikamjibu Hilo swali kuwa na Mimi nilitaka nimuulize nivile tu kaniwai. Huku ukweli nikwamba ni kweli sio mkaaji sababu ya shule. Basi muuzaji alirudi na akampa chenchi yule dada akarudia nyuma kunipa nafasi nihudumiwe lakini hakuondoka nikama alikua akisoma sms kwenye simu yake.

Wadau mwanamke udhaifu wake upo masikioni. Maana yake ni unaweza athiri namna yake ya kufikiri kwa kupenyeza maneno matamu kwenye sikio lake. Lakini kwetu wanaume Macho ndio weakpoint. Kutaamani kunaanzia kwenye kuona. Binafsi nilimtamani yule dada. Why ? alikua amevaa tight ndefu ya grey, t-shirt ambayo kwake ni oversize chini kabisa kaua na kikuku Cha chain mguu mmoja. Shape na muonekano mzima of course alinivutia japo sijamuelezea kwa 100% maana sio dhima yangu ya msingi ingawa kama ungeiona picha yake insta naamini ungegusa kwenye kuview profile.

Bila kujua au kujali sikumpa tena attention kwani niliamini anaondoka lakini nilishangazwa na kitu. Nilisikia... " jirani me naondoka", nikama 30sec zilikatika toka anipishe nipate hudumu. Nikageuka chap naona ni kweli anashuka ngazi. Nikamwambia " sawa jirani tutaonana tena". Nilichonotice ni kama Recho alitarajia ninge endeleza maongezi sorts of maswali na hatimaye tubadilishane namba. Ukweli ni alikua sahihi lakini nilikaza tu maksudi maana niliamini kama ni jirani kweli na anakaa pale aliponionesha kwa kidole basi tungekutana mara nyingi zaidi maana nipo home sasa.

Kimsingi nilikua nimefunga zipu yangu kwa miezi kama mitatu hivi au ziaid hivyo nilikua hyper flani hivi. Hapa niweke kitu clear. Notion iliojengeka kichwani mwangu ni, mwanamke ambaye Anableach...anavaa vikuku...anatattoo. Iwe ni ana kimoja kati ya hivyo au vyote kwa pamoja ni Wanawake ambao wapo beyond the limits. Yaani kama kaolewa au anamtu kucheat sio issue na mambo ya bata hasa sex ndio issue zinawapa fantasy sana. Na hio Haina uhusiano na elimu yake . Super woman chukua hioo itakuaaidia. So niliamini tu hapa nitapiga hata iweje. Niliweka nia lazima nitamtafuta tu.

Kesho yake mida ya saa 5 asubuhi nilipita jirani kabisa na Ile nyumba na ilikuwa na fence. Kichwani nikawaza nigonge geti au nikaushe naona shetani akawini. Nikagonga geti, baada ya muda kidogo likafunguliwa. Aisee ni yeye Recho kafungua. " Jamani jirani umepajuaje hapa. Heeh! Karibu kumbe kweli wewe ni mwenyeji". Mimi " Jana baada ya kunionesha tayari nikajua ni nyumba gani haswaa" mara kidogo nyuma yake akafata mtoto mdogo wa kiume kama miake 4+. Sikuuliza lakini alinambia "Oh! Mwanangu huyu jirani, haya karibu basi ndani."

Kaka mkubwa niliingia Ndani, Moja kati ya very high risks nimewahi kufanya ni hii. Kuingia ndani ya mji wa mtu pasina kujua kaolewa au lah na kama kaolewa mwenye mke yupo ndani, katoka au utarudi muda gani... Leo tuishie hapa then kesho tujue yalionikuta, inshallah tunaendelea.
 
Huo ni uhuni, Anza maliza basi yaishe
 
Unapoza uzi..
.
kama unashusha basi shusha kadri uwezavyo sio ep1 unasema utaendelea kesho matokeo yake uzi unakosa amasa
 
Tuendelee EP 02

Bila wasiwasi nikaingia ndani. Nafikiri hii ni kwasababu ya karibisho lisilo na walakini ndani yake. Ila hii haitoshi tukubali tu kichwa Cha chini nacho kilikua na shinikizo kubwa hapa. Recho " karibu sana jirani hapa ni kwangu nipo na mwanangu huyu anaitwa (. )". Kidume nikakaribia pale na kinywaji nikaulizwa lakini nikataa zaidi ya glass ya maji. Sikuwa muongeaji sana badala yake nilitaka nisikilize zaidi huenda nitajibu maswali yangu kwa njia hio.

Niliuliza "Mimi napita sana hapo nje lakini sijawahi kutana hata na mwanao kwani una Muda gani hapa ? " Recho, " em kwanza tujuane jirani maana hata Jana huku nambia jina lako". " Naitwa Z (fictious name)....well nijibu una muda gani". Recho " mbona tupo hapa mwaka wa pili huu na kama hua unapita naamini tungekua tushaonana hata kwa mbalii ingawa me si mtokaji sana." Niliposikia neno 'TUPO' plus bwana mdogo pale nikapigia mstari, hapa Kuna mwamba behind. Huyu sio super woman. Yalifata maongezi ya kawaida kabisa ikiwemo nafanya kazi gani na najitegemea au lah! Vitu ambavyo ni genuine kabisa. Sikuona haja ya kumficha, nilimchana nipo home napiga mark timing tu. Mwishoni niljua tofauti yake na Mimi ni miaka 5, Yani mkubwa kwangu. Kwangu hio haikua shida kwani kwa muonekano wake ni aina ya wanawake wanaokataa uzee...alooh! Kweli tamaa zilimponza Mzee fisi.

Nilitumia dk 20 hadi 30 pekee kukaa pale ndani, kwakweli sijui uoga au hofu kuwa nipo kwa watu tena nisiowajua ulipotelea wapi. "Recho naomba nikukimbie, nimefurahi kukuona kwa mara ya pili..nafikiri tutaonana zaidi". "Jamani subiri basi nikukaangie hata ndizi bhana..haifai umekataa kinywaji na chakula pia sio uungwana" Recho alijibu lakini sikuona umuhimu sana wa kurudisha mwili wangu kwenye kochi. Tulitoka nje then nikaona Nina sababu buku plus za kuomba namba yake. Tulibalidlishana namba nikamflash kwa sms akajibu nikasema phase 1 done.

Nilitoka Mida ya saa 6 kasoro na hapo ndio tukawa tumefungua mlango mwingine wa ukaribu. Tulichati Kiana na nikamuliza ' vipi naweza kukupigia time yoyote'? Akajibu 'bila shaka Z'. Hio siku sikuwa na haraka sana ya kuanza kutongoza via simu. Niliamini zaidi katika kufanya mambo physical nasio kupitia simu. Jioni nikamcheck ila nikamtrick ili nione kama atajaa. Kumbuka haya yote nafanya si kwa upendo hata sumni ila tamaa tupu. Mimi " Recho ushakua kampani yangu kama nilivokwambia nipo tu home..boring sana". Recho "Usijali jirani uwe unakuja tu ukipata muda ila usinistukize kama Leo. Ukitaka kuja nistue hata kwa sms nifanye maandalizi". Mimi "poa hio Haina shida...kesho asubuhi Kuna mahali naenda lakini ntageuka maybe saa 1 jioni. Vipi ni sawa kuja kukuona time hio?". Recho " Mh! Hua nafunga milango mapema sana ila hamna shida we njoo tu" . "Fresh basi usiku mwema jirani " nikamalizia na yeye akaitika " poapoa Z na wewe pia".

Ukweli sikua na mahali naenda Wala Nini. Nilitaka tu ajaee ili nijiridhishe kuhusu degree ya uhuru alionao. Na katika maongezi yetu ya asubuhi sikuuliza kama ana mume au vipi. Naona hata yeye hakuintertain hizo habari hivyo sikuona haja. Sasa majibu haya ya ninaweza kwenda hata hio kesho jioni yakanipa jibu lingine. 'Huenda mumewe hayupo around. Naam! Nikweli nilikuja kithibitisha hilo kesho baada ya kwenda.

Asubuhi kama saa 3 nilimtext, hakujibu. Baada yalisaa nikampigia simu akapokea. " Hello mamboo". Nikamjibu "fresh, umelala Nini maana nilikutext but kimyaa ". "Ndio nimelala Yani Jana nilikunywa sasa hang over naona inanisumbua bado sijaamka". Mimi "Oh! Pole sana, sasa unalewaje upo mwenyewe na dogo hapo. Ukipata shida inakuaje.!!". Recho " Z bila kunywa Mimi usiku silali, nakuwa kwenye Hali ya upweke na mawazo mawazo tu." Baada ya kusema vile alooh! Kwasababu ya Nia yangu ovu, nikawaza mbalii na nikaona kabisa hapa nimeshajimegea huu mzigo. Gap lipo wapi. Upweke!!!

Hapo sikusita tena nikaenda Moja kwa Moja kwenye point. " unasema upweke kwani jamaa yako yupo wapi?". Yeye " Elewa tu nakuwa mpweke hayo mengine kama utakuja tutaongea...umesema utakuja saa ngapi?". Nikawa mpole pale na nikamjibu "'saa 1 maana nipo town tayari'". Poa tukamaliza hivo. Toka hapo sikucheck nae tena mpaka ilipofika saa 12 jioni.

Akili yangu wakati huo ilikua ikifikiria dhana nyingi kichwani kuhusu neno UPWEKE na kwanini Alewe ndio alale. Dhana Moja ikawa na mashiko zaidi. Huyu dada inawezekana ana mtu serious/mume ila hayupo kwa kipindi flani nasio kwamba labda heartbreak au vinginevyo. Hii dhana ilinipa nguvu kiasi nikajisemea, "Leo naenda na condom kabisa, anything can happen". Hakika nilikua nawaza show tu na si vinginevyo.

Kipindi haya yanatokea home nilikua mwenyewe. Familia nzima haikuwepo. Nilikua huru kufanya movement zangu hata majira ya usiku sio shida.
Ilipofika saa 1 jioni nikamtext, "sitaweza kufika sasahivi bado nipo mjini. Nafikiri saa 3 nitakua around. Possible kukuona?". Sms aliojibu ilisomeka "Sawa Z ila utakuta nimeshaanza kunywa".

Recho kashaanza kunywa, Je nilifanikiwa kumla huo usiku?!?
 
Back
Top Bottom