Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

Ndio zao wake za watu hasa wenye familia zilizo na kauwezo kidogo kanakozidi uwezo wako mwanaume. Mwanamke wa familia za hivyo huwa muda wowote anabadilika na kukaliwa kimia ikiwrmo hizo blocks.

Nikuhakikishie ungekuwa na hela nyingi kuliko mme wake hata kama simu yake itapasuliwa utatafutwa na kuombwa msamaha.
 
Ama kweli uandishi ni kipaji,ni kitu gani umeandika hapa mkuu maana hakuna lolote la msingi zaidi ya muuza maziwa mara cherehani 🤣
 
Kabisa. Karibu sana mzee
 
Okay...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…