Hivi ndivyo tunavocheat, palipo na viatu vya muwewe kuna ndala zangu

Salaam wadau, tuendelee na CATTY. 02

Baada ya Catty kugueza hatua kadhaa kuelekea tulipotoka nikaamua nimsikilizie tu kwajili ya usalama wake. Hakuchukua muda akarudi. Swali langu "Vipi uko sawa... na je salama?". Catty akajibu " am alright". Nikama umakini au niseme utimamu ulimrejea kiasi baada baada ya Ile call.

Mimi " Ei tufahamiane sasa, tumezunguka kote huko na stori kibao lakini sijui hata jina lako na mwenzio yule". Nikaamua nifungua code kwanamna hio. Catty "Ok call me Catty, yule ni dada yangu na jina lake utamuuliza yeye kesho". Hapo sasa majibu kama tupo depo lakini sikujali nikaendelea.

Mimi "well, hamna shida basi tubadilishane contacts kama hutajali". Catty " unataka namba ya nini...wewe ongea hapa hiko unachotaka niambia kwa simu". Unaelewa vile unahisi pale mwanamke anataka kukushusha kujiamini. Ndio hiyo sasa nikahisi kuwa 'overtaken' ila nikapapatua.
Mimi "Sikia hakuna ulazima sana kuendeleza maongezi usiku, tukalale ila nakupa namba yangu ukiamua kunicheck itakua poa sana".

Hapo hakupinga akanipa simu niandike namba. Chap bila kupoteza wakati nikatype namba na nikajitext. Hapo tumesisima mtindo wa 'opposite orientation' hivo haikuwa rahisi kuona nachofanya. Hata hivo nilifanya ndani ya sekunde chache sana nikarudisha simu yake. Tuagana Kila mtu akashika njia yake kuelekea kwenye hema lake.

Hivo ndivo nilivokutana na Catty. Najitahidi kufupisha ikiwezekana nimalize kisa hapahapa.

Nilimtongoza Catty karibu mwezi mzima lakini wapi. Imba ushairi bado wapi, tia chambo kwenye ndoano kwamaana ya miamala lakini bado sikufanikiwa.
Baada ya mwezi kukata Catty akanambia nikiendelea kumsumbua angeniblock. Na kweli sikukoma wala nini nikala block kote kote kawaida na WhatsApp.

Sikumoja nipo Telegram nikaona taarifa kuwa Catty kajiunga na Tele. Watumiaji wa Telegram hapa mnanielewa. Mtu akiwa kwenye list ya contact zako akijiunga Telegram basi unapata 'notification' kuwa amejiunga na Telegram. Nikawaza nimecheka ila nikazuia.

Nilivorudi WhatsApp nikaona amepost status, fasta nikakimbila kumtext nione kama bado tofali lipo au lah!. Heh! Kitu kikaitika 'double tick' na hakuchukua muda akajibu. Tukachat Kiana ila mwisho nikaomba date. Catty ni Nani, tumjue Catty.

Kabla ya siku ya date tuliendelea kuwasiliana na yeye akawa wazi kabisa kuniambia taarifa zake binafsi.

Ni mtoto wa mwisho kati ya watoto wa tatu kwenye familia yao. Dada wawili na kaka mmoja. Wakati huo alikuwa anasoma 'masters' ya biashara chuo fulani Dsm. Baba na mama wananafasi serikalini na muda mwingi wapo Dodoma. Hivyo wana makao mawili Yani Dsm na Dodoma. Hii inatosha Mdau turudi kwenye kisa.

Siku ya kukutana ikafika, nilipanga nimeet nae ijumaa jioni. Tumewasiliana fresh kutwa nzima lakini saa kumi jioni napata simu ya dharula. Sitaweza kukutana na Catty for dinner. Nikamcheck saa kumi na moja kumjulisha kuhusu dharula na nisingeweza kumeet nae.

Aisee sielewi Catty alikuwa kajiandaa vipi au alipanga Nini. Ila nachotaka uamini ni, huyu mrembo alinimind sana. Nakumbuka hii statement. Catty " For over a month now you've been asking me to accept meeting you and then now You just simply waste my time this way....Z don't check on me any longer". Na kukata simu yangu. Kifupi nilikulablock kwa mara nyingine.

Dharula yangu ilikuwa ni muhimu zaidi ya Catty hivyo kwa namna yoyote nisingeweza kuipuuza.
Sasa nikakubali Ile Hali na nikasave kabisa hapa huyu mrembo ndio basi tena. Nikafuta na namba.

Imekatika zaidi ya miaka mitatu mpenzi msomaji bila ya kutafutana. Sio miezi, miaka mitatu mpaka nilishasahau kama kuna Catty niliwai mtongoza. Siku Moja text ikaingia Telegram, "Hey mambo". Nikamcheck fresh ni Catty.

Hapa tuelewane, ukifuta namba ya mtu alioisajili Telegram basi itafutika kwenye orodha ya 'contacts list' ya simu yako kawaida lakini ukiingia Telegram namba unaikuta kama kawaida. Nadhani umeelewa sasa nilijuaje Ile text ni ya Catty.

Nikamjibu "poa, mambovipi". Yeye tena "Niko fresh uko wapi"? Mnh! Oya weeh hapa kwenye uko wapi nikastuka kidogo. Nikawaza isije ikawa matapeli ya mitandaoni. Mbona ghafla sana, Nikacopy namba kawaida nikapiga. Catty "Hello!". Mimi "Yes Hello! Habari yako, ni Catty?". Catty " Yah! It's me. Why?". Ni kweli sauti ni yake. Hapo nikajirisha ni yeye nikamuomba tuendelee kuchati. Akanielewa.

Tukaendelea, Mimi " nambie Catty, muda kidogo umepita". Catty " ni kweli, uko wapi"?. Mimi " Nipo home". Akaendelea " kwako au kwenu na upo na nani?". Duh! Sasa hapa nikashangaa kidogo. Hii vipi hii.
Nafikiri hata wewe hapo ingekufikirisha kidogo, for over three years Leo mtu anaibuka na maswali ya namna hii. Ok nikaamua kumjibu " sasa na umri wangu huu nitakuwaje kwetu.. nipo kwangu" nikamtajia eneo hapa Dsm lakini kwa wakati huo nilikua Tanga.

Catty " sawa nipo home pia, Leo nipo nipo tu sina pa kwenda". Hii ilikuwa jumamosi. Nikamuuliza so unaweza kuja kwangu. Alichojibu hapo sasa ndio patamu. "Yes, why not! Ngoja nicheck bolt nione ni bei gani". Alijibu na hakika sikuamini. Mimi " ok kwani home ni sehemu gani?". Reply "Mbezi beach karibu na Kwa Zena".

Hii ilikuwa mpya kwangu. Imekuaje Leo Catty anautaka kirahisi na mna hii, Imepita miaka mitatu taslim kimyaa. Maswali kibao ila nikasema ngoja nijiridhishe kama kweli anamaanisha au lah!.

Mimi " Ok safi karibu, unapenda chakula gani nikuandalie?". Catty "Napenda ugali, dagaa na mboga za majani...drostdy hof wine isikose". Mh! na Mimi nikashangaa huyu wakishua imekuaje ugali na mboga za majani. Nikauliza "upo serious kweli au unatania. Ugaliiii wewe huyo?". Jibu la Catty " kweli, tena itapendeza uniandalie tu nije nipike mwenyewe".

Usisahau hii ni saa sita kasoro mchana, na nipo Tanga. Bado naona kama Catty anaweza kuwa ananihadaa. Nikafupisha chat hivi. Mimi "Poa nitatufurahi kukuona.. should I take a piece of condom?". Catty akasikilizia kama dk kumi then nikajibiwa " Ok take one"..........

Catty yupo serious au anatania?

Edo kissy Monetary doctor Lily Tony Southern Highland secretarybird
 
Mkuu nafuatilia kwa makini sana, umeanza kunoga
 
Nzuri sana Ila hujawah acha kondomu nyuma😂,

Nakumbuka kwa rechoo ety umebeba kondomu 😂
 
Hii sasa ndio mtoto kautaka mwenyewe.. tupe vitu mzee baba
 
TUENDELEE 03

"Ok take one". Lilikuwa ni jibu lake. Hapo nikapigia mstari yupo serious. Na nikaona hapa nikichelewa anaweza niambia ameshafika nikampokee.

Nikampigia simu hakupokea. Nikamtext kawaida "Ukitaka kutoka niambie, usitoke kabla hujanambia". Muda mchache akanipigia simu.

Catty " Ey please unisitumie msg kawaida. Tuwasiliane kule Telegram". Nikamjibu "poa".

Hapo taa nyekundu ikawaka. Kwanini hataki kutafutwa kawaida. Nikakausha anyway, kama dk kumi na tano kupita nikamtext Tele.

" Ei vipi mbona kimya.. umetoka?". Catty chap akanijibu "nipo kwenye bolt nimefika Kawe. Hivi sijakwambia !?". akatuma na screenshot ya route yake.

Nipo Tanga sasa, Catty yupo kawe anaelekea kituo nilichomwambia ndio kwangu. Naiwekaje sawa hii. Naona kabisa vile Catty ataumia nikimwambia nilikua natania na nipo nje ya mkoa.

Tunafanyaje sasa. Hata nikisema nipande gari ingenichukua zaidi ya masaa sita kufika jijini. Hapa hakika ngoma ngumu.

Nikaamua kumpigia simu japo alishanambia tutumie Tele kuwasiliana. Akapokea kisha

Mimi " Catty imekuaje umetoka na hujanambia sasa?".

Catty " Z kwani shida ipo wapi wewe si upo home nipo njiani naja".

Mimi " Dah! Sikujua kama ulimaanisha...sipo home sasa, nipo job bado na nitatoka saa 12 jioni".

Catty " Heeh! Unasemaje Z. Au sijakuelewa... em nitumie text telegram". Akakata simu.

Nikaingia Tele chap,

"Sipo home, bado job sasa na hata sikuwa na uhakika kama kweli unamaanisha unakuja home". Baada ya kumwambia vile Catty alinishushia mvua ya texts za kulalamika, moja ambayo naikumbuka vizuri ilisomeka hivi.

"Sijawahi kubali kuonana na mwanaume kirahisi namna hii nilivyofanya kwako, nashukuru kwa kunifanya Mimi mjinga".

Dah! Hapo kweli nikahisi hatia flani hivi. Nikamuuliza kafika wapi na bolt alitoa bei gani.

Catty akajibu "Don't text me any more. Wala siihitaji pesa yako. Umenipotezea muda wangu na pesa yangu pia". Akaongeza "Nazima simu usitafute please".

Nikarejea ile screenshot yake ya bolt kisha nikatafuta bei halali ya route yake nikamtumia kiasi flani. Nikatulia kimya niliamini kwa muda huo kakasirika. Ngoja apoe ntamcheck jioni. Kweli hakunicheck tena.

Sasa Catty ni pisi kali, mali safi. Kuna vitu nikawaza nikaona ni kweli nazingua. Mara ya kwanza nilighailisha date. Hii mara ya pili nimefake uwepo wangu.

Dah! Hapa nimeshaonekana 'miyeyusho'. Nikasema huyu kesho lazima aliwe, iwe kwa ndimu au kwa limao.

Nikadhamiria kumla. Na msomaji nikidhamiria jambo aisee sirudi nyuma. Ila Je, namlaje wakati kasha kereka na sasa nipo nje ya mkoa. Niliplan jambo.

Saa 12 jioni nikampigia simu tena. Ikaitaa ikakata. Ikaingia sms " hivi nikwambie mara ngapi nicheck kule Telegram".

Mimi " ok sorry, nauli Yako ya bolt ulipata?".

Catty " Ndio. Unasemaje?".
Mimi " Natoka job sasa uko wapi nikupitie twende home".

Catty "sahivi ni saa 12 twende wapi... kwanza kwa ulichonifanya sikuamini tena na usiku tayari sitoki".

Nilijua tu asingeweza kukubali tuonane hio siku sababu ya hasira ndio maana nikakazia hapo kwenye 'upo wapi' nikupitie ili aamini nipo jijini.

Nachokitafuta hapa nikumpoza ili akubali kesho tuoanane. Naona pamoja na lile tukio bado alinipa room ya kuchat nae. Humohumo nikapita na hilo gap kumplease na kumpromise kesho tungeonana hivo asinikazie.

Kifupi alikubali. Nilisafiri na gari za usiku nikafika alfajiri nikadaka room sehemu. Haya yote nayafanya lakini najiuliza swali Moja kuu.

Catty kimemkuta Nini, mbona ni ghafla sana. Miaka mitatu hata salamu hakuna leo nitunukiwe mzigo simple namna hio. Hapana hapa nashikishwa mimba au lah nanunuliwa luku. Nikajihami kwa vyote.

Saa mbili asubuhi nikamcheck, "Ei good morning. Nimechukua room mahali. Ukiwa tayari niambie nikutumie jina".

Lisaa likakata hakuna reply. Mara saa 4 hii hapa bado kimya. Nikavunja makubaliano ya kutumia Telegram nikampiga simu. Ikaita akapokea.

"Hello! kwanini huelewi lakini, normal calls and msg sizitakiii!". Mimi "Ingia telegram sahivi". Nikakata simu.

Baada ya nusu saa akanicheck Tele.
" kwanini umechukua room. Kwani tumekubaliana kukutana hotel?".

Mimi " Leo sipo off, natakiwa kazini ndio maana nimechukua room jirani kidogo na ofisini. Home ni mbali".

Catty "Asubuhi yote hii..Mimi siji na kwanza sikuamini tena". Hapa sasa nikaanza kuona mbona kama mambo yanataka kuharibika. Nikaendelea.

Mimi " yale ya Jana si ulisamehe lakini. Inakuwaje sasa unasema huniamini ?".

Catty " unadhani Mimi nilijisikiaje...ngoja nione kama akili yangu itakubali ila sidhani".

Mimi " so Catty una 'revenge' au vipi". Mrembo akajibu jibu Moja la kurudisha matumaini.

" Ukituma hela ya bolt nitaangalia kama ntaweza ila si'guarantee'... kwanza kwanini umechukua room kabla ya kuniambia?".

Nikaona mambo yasiwe mengi. Hapa tayari nishatoa pesa yangu sadaka tu. Nikamwambia "poa nakutumia hio ya bolt. Kama hutaweza nijulishe mapema".

Nikafanya muamala chap then nikaangalia utaratibu wa chakula.

Lakini msomaji Kwanini Catty hataki normal call na msg, anaficha Nini au kaolewa?

Monetary doctor Edo kissy Smooth Criminal Lily Tony
 
Huyo keshaolewa ila kuna kitu hapati sawasawa. Ila Catty naye mgumu sana
 
Kumbe ziliungwa mbili bhana😅😅
 
Back
Top Bottom