Hivi ndivyo tutakavyowakimbia mapolisi siku ya maandamano

Hivi ndivyo tutakavyowakimbia mapolisi siku ya maandamano

Asa hayo yatakuwa maandamano!?
Maandamano si ni Yale mnaangaliana na polisi akirusha bomu unaliokota unamrudishia.
 
Ukiwatimia viwanja vya Mnzi mmoja,wanaokwenda Mitaa ya nyumba,halafu the fight will last forever.
Polisi kama wanahofia riot, hawawezi kuruhusu watu wafike viwanja vya Mnazi Mmoja.
Make no mistake, RIOTING NI BURUDANI KWA VIJANA WA MJINI.
Mi najua. Mi ni veterani wa riot nyingi,tumekuwa tunakimbizana na Polisi.
Lakini in this case a riot is unnecessary.
Juzi juzi Afande Jumanne Muliro alikuwa Kariakoo pale anasimamia maandamano,I forget ilikuwa inahusu nini, and it was quite peaceful.
 
Back
Top Bottom