Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika Kwa Kuanza Na Shilingi Elfu Moja

Mwongozo mzuri sana.
 
Mmmmh nikianza kuweka 1000 leo nikifikisha miaka 60 ntakuwa na mil.70.... Za nini? yani hapo maisha yangu yote nimekuwa maskini wa kutupwa then at 60 napata mil 70...what for?
Kipindi hicho utakuwa na uhitaji nazo kuliko kipindi chochote.
 
Hy

Ni maajabu huo ni upuzi upuzi kwanini usinunue shamba kijijini hekali moja 300000 laki tatu ukapanda michenza 200 baada ya mwaka 4 ukaanza kuuza kwa mti 30000@200=6000000 kwa mwaka x miaka 30=180 milion je ukipanda eka 10 jamaa na elimu yake ALIYOUTOA BOT NI UPUZI
 
Watanzania wanataka na wanaweza ku meki ila shida IPO kwenye usimamizi Kila idala kumejaa maccm kumbuka deci.
 
Swala zima za investments na success linahitaji muda wa kutosha
 
Mbona wewe ndio unaonekana huna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…