CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
JINSI VIJANA WA KAZI WANAVYO WEZA KUKUPIGA KWENYE KUKU WAKO.
Ukiwa unafanyanufugaji wa simu ni lazima pia kujiandaa kwa majanga.
1. Kupitia mayai- Una kuku 300 wakutaga lakini kwa siku zinaokotwa trai 3 na taarifa ni kwamba hawatagi, Mara nyingi hapa unapigwa mayai yanaenda kuuzwa.
Ila siku ukishinda hapo basi mayai ni ya kutosha.
2. Kupitia kuku- Hapa kuku huchukuliwa na kwenda kuuzwa na utaambiwa walikufa, Taarifa ya kwamba walikufa utaipata endapo ubajua hesabu za kuku wako kama hujui hesabu basi wanapiga kimya.
3. Kubadilishiwa kuku- Wakiona unajua sana idadi ya kuku watakuja na njia ya kukubadilishia kuku, hapo unawejewa kuku wa aina ile ile ila wasio taga na wanao taga huchukuliwa na kupelekwa kwingine.
Hii ni dili ambayo huwa imefanywa nawanao tafuta kuku wanao taga kwa ajili ya mayai
4. Mayai ya mbegu- Hapa napo huwa kuna kubadilishiwa mayai, wanaweka yasiyo na mbegu na hata mabovu na yale yenye mbegu kwenda kuuzwa kwa mtu ambaye wanakuwa wamisha panga naye na anaye hitaji mayai ya mbegu.
5 Chakula- Hapa ni kwa kuuzwa kwa wafugaji wengine.
6. Kuku wagonjwa kuto pewa dawa.-Kuku sana hufa kwa uzembe wa kuto pewa dawa, mara nyingi hapa ni kusahau kwa vijana wa kazi au uzembe wa makusudi kabisa.
UTAJUAJE KWAMBA UNAIBIWA?
1. Ukifika ghafla unaweza kuta hata kuku wamepikwa au mayai yanakaangwa kwenda mbele.
2. Kukuta mazingira yasio yakawaida, unakuta kilingi cha watu/ wageni wao.
3. Kukuta kuku hawana chakula na ukiingia bandani basi wanakukimbilia wakijua unapeleka chakula.
4. Kukuta vijana wa kazi wanamiliki either simu za ghalama, nguo na hata Music system kuliko kipato chao.
UKITOA TAARIFA KWAMBA KESHO UNAENDA
1. Hapa utawakuta wako bise balaa, wanafagia na kuku wanachakula na maji, Hahaaa wanacho fanya siku wanajua unaenda ndo Kuku watalishwa na kuwekewa maji.
2. Utawakuta wamepika Maharage au Dagaa, ila kiuhalisia hawali mahalage bali ni kuku na mayai.
JINSI YA KUWAKAMATA
1. Fanya suprise na hapa unaweza kuta either hawapo, au kama wapo basi wamelala na kuku hawana maji wala chakula na wengine wanaumwa.
2. Unaweza kuta hata wako mjini na kama ni usiku basi wameenda zao Disco mjini.
3. Utakuta kuku jikoni, Hahaaaa
4.Utakuta wameoga zao na wako bise na Radio wanakula miziki.
UNAWEZAJE WADHIBITI?
1. Hakikisha unajua kuku wako kwa idadi na kwa sura, wakalili kuku make ukijafanya unajua kwa idadi ubaweza basilishiwa kuku hadi ukashangaa.
2. Wape malengo ya ukusanyaji wa mayai.
Kuku wanao taga wakiwa 200
Kama ni mwaja wao wa kwanza piga utagaji utakuwa asilimia 80
200 x 80%= 160 hapo ni kwamba mayai 260 yasipungue kwa siku.
3. Jua ratio za chakula wanacho kula kuku kwa siku.
4.Tafuta dawa maalumu ya kuzuia kuoza na wapatie na kuku akifa hata kama itachukua wiki wamuache uje umuone kweli kafa.
Unaweza tafuta sehemu maalimu ya wao kuwaweka na uwakute pale.
5. Hakikisha unajua aina za mayai wanayo taga kuku wako iliyakibadilishwa uweze kujua pia pima mayai huku huko shamba.
6. Camera maalumu ya ulinzi-, Hii ni nzuri ila ni ghalama sana
NI HAYO TU
Chasha Farming