Hivi ndivyo Vijana wa kazi wanavyo weza kukuibia kwenye shamba la kuku

Hivi ndivyo Vijana wa kazi wanavyo weza kukuibia kwenye shamba la kuku

Kwani wanalipwa shilingi ngapi hawa vijana wa kazi. Ukiwasimamia kama watumwa ndiyo yatatokea hayo. Lakini ukiwashirikisha kwenye mradi watakuwa upande wako.
Sasa mtu anakulindia mayai yako halafu hutaki ale mayai. Unafurahi akila maharage? Atakula mayai mangapi kwa siku.
 
Hivi mtu unawezaje kukariri sura za kuku zaidi ya 300...!!?

Sasa hapo itakubidi uwe na majina yao ili kila ukija unawaita majina......

NB;

Mradi wako wowote wa gharama unahitaji uangalizi wako wa karibu sana au mtu wako wa karibu ambaye ni muaminifu sana.......otherwise ni disaster
 
Mkuu mimi naweza nisijue idadi yao lakini akitoweka kuku mmoja tu kati400 nakwambia kuku mmoja wa hivi na hivi simuoni.

Hata wewe na uhakika utaweza hii alichokisema ni sahihi 100% Enzi za utoto tulikuwa na mbuzi zaidi300 pamoja na kondoo lakini akipotea hata mmoja tu mnajua japo idadi hatuijuina hata kuhesabu tu hujui ila ikitokea mmoja humuoni kuna kitu kinakuwa kinakuambia mbuzi wa aina hii hayupo na kwli inakuwa hivyo.

Mama anazaidi ya miaka 65 kwa sasa yeye vifaranga wala hahesabu kabisa akifa kifaranga hata mmoja anakwambia mbon vifaranga wamepungua? Huyu mimi ndo huniacha hoi kabisa hatakaa ahesabu hata siku moja na hata ukiongeza kuku atakwambia leo kuna kuku wageni?
 
Back
Top Bottom