Hivi ndivyo vyuo bora vya masomo ya biashara Tanzania

Hivi ndivyo vyuo bora vya masomo ya biashara Tanzania

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,370
1.ifm - ni chuo kilicho na resources nyingi kitaaluma academially ni kizuri wanaoleta mchezo hiki chuo wanajifukuza, sio ajabu mwaka
wa kwanza mnaanza mpo 800 na wahitimu kubaki hadi 500, test 1 marks na test 1 marks 15 na test 2 marks 15 final marks 60 group work 10
, ishu ni kukaza buti hakuna ujanja kwa wala bata

2.iaa - chuo kipo arusha, kinatoa taaluma bora kwa wanafunzi wake, sheria ndio msingi wa hiki chuo, soko la ajira kwa wahitimu
lipo juu katika jiji hili la kitalii na Tanzania kiujumla pia wanahitimu wake kupata kazi nje ya nchi kama kenya na uganda ni rahisi mana
chuo kinajilikana na watalii wengi wanaofika jiji hili

3.muccobs - hiki chuo kiukweli kina hadhi yake isiyoshuka kwa miaka nenda rudi, muccobs hutoa fani mbalimbali za biashara, kiufupi academically ni kizuri mno na pia kina matawi mengi tanzania

4.tia - kwanza niseme tu chuo kimepoteza heshima yake na ni kweli, elimu inayotolewa hapa haipo kwenye kiwango kizuri, mwanafunzi akienda field anaambiwa tu aje na ripoti mambo ya kuhakikisha mwanafunzi anafanya kazi sehem flani hawanaga,
kitu ambacho kinasababisha wanafunzi wengi kufanya kipindi cha field kuwa likizo


5.cbe - chuo hiki kinachipukia hivyo tukipe muda ila ni kizuri, wameanza kutoa degree, ila 2 wanafunzi na walimu wa hapa skendo
za ngono zinawachafua, kuna video ilikuwepo mtandaoni lecturer anamnanii mwannafunzi wake wakiwa hawana habari na kamera
 
Huo utafiti umeufanyia wapi na tupe data zake

The best business school ni only UDBS -

University Of Dar Es Salaam Business School.
 
Back
Top Bottom