Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kuna hii "Clip" hapo chini ambayo imeigizwa na wale watoto wa Uganda walioigiza jaribio la kuuawa Kwa Donald Trump wa Marekani.
Clip hiyo inaonesha utofauti uliopo kati ya wasudan wakiandamana na watanzania wakiandamana.
Kwa upande wa Sudan inaonesha hata waandamanaji wakipigwa risasi, waandamanaji wengine wanasonga mbele na maandamano bila ya hofu.
Lakini Clip hiyo inaonesha kwa upande wa Tanzania, waandamanaji wakisikia sauti tu ya bunduki ikikokiwa, wanatimka mbio.
Jee Kuna ukweli wowote katika hili?
Hao hapo...