Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
abuse of children, waacheni watoto wawe watoto, wachezee toys na magari, wajenge treni au wabembee kwennye bembeya …
Kama hakuna toys na bembea..?abuse of children, waacheni watoto wawe watoto, wachezee toys na magari, wajenge treni au wabembee kwennye bembeya …
These children are talented and they earn a lot of money .
Let them use their gift
Kama hakuna toys na bembea..?
Hiyo hela ya kununulia magari ya kuchezea itoke wapi wakati wazazi wao hela tu ya kununulia kilo Moja ya Dona wanapata kwa mbinde...!?
😀😃😄
Hao ni watoto wa kwanza kuigiza!?you call it talent? thags abuse of children au unafikiri hao watoto wameandika hiyo script na kutengeneza kila hiyo acting?
Hizo mbao unadhani zinegharimu shilingi ngapi!?na hela ya kununulia hizo bunduki wampepata wapi? narudia tena hiyo ni child abuse …
Hao ni watoto wa kwanza kuigiza!?
Jee hakuna filamu zilizotpakaa ulimwenguni pote zilizoigizwa na watoto?
Hizo mbao unadhani zinegharimu shilingi ngapi!?
you call it talent? thags abuse of children au unafikiri hao watoto wameandika hiyo script na kutengeneza kila hiyo acting?
Kinachotafutwa hapo ni ujumbe uharibiwe (Distort).Watoto walivyocheza wamecheza kawaida Sana
Ila waliongiza sauti ndo wameingiza hizo sauti ya risasi
So I hope hawa watoto hawajacheza na kuingiza ktk allkili yao protesting
So tuwe positive hakuna mtoto yeyote hapo kashika gun
Acha uwongo tena wenzetu watoto mpk ushoga wanaigiza yaani wazungu sio wakutolea mfano kabisaa ,movie kibao za watoto tena vinaua hivyooo au nkupe list ya izo moviekuna kuigiza na kuigiza, nionyeshe watoto wa kizungu wa umri huo au race nyingine yoyote iliyostaaribika ambapo watoto wanaigiza killing and shooting each other, nchi zilizostaarabika unashitakiwa ku stage mchezo kama huo kwa watoto, na wala siyo jambo la kuchekesha, ni child abuse …
Na wale watoto wetu wanaibakwa na CCM kuhudhuria mikutano yao na kuvishwa sare za CCM bila idhini yetu wazazi mbona haukemei!hii ni 100% abuse to children, waacheni watoto wawe watoto, wachezee toys na magari, wajenge treni au wabembee kwenye bembeya, wacheke na wafurahi, kwa nini mnawapa kilking weapons? pure evil …
CCM wako vizuri kwenye disinformation, kila kitu wao ni propaganda tu.Kinachotafutwa hapo ni ujumbe uharibiwe (Distort).
Mjadala utoke kujadili ujumbe uende kama ni sahihi ama si sahihi kuwatumia watoto kuwasilisha ujumbe husika!!