Hivi ndivyo waafrika wenzetu wanavyotuona ama hawa waganda wamekuza tu!?

Mbona hawaigizi jaribio la kumuua Trump?

Amandla...
 
Watanzania ni viumbe wa kipekee. Siyo binadamu na wala siyo wanbyama
 
Hiyo clip ni halisia, ni kweli, ila iko wazi watz IQ ni kubwa sana for now, watz ni next level generation, akili mingi, watz wanatumia mitandao, watu wako nyuma ya keyboard gizani wanarusha mabomu na makombora na kuandamana kidigitali na kukosoa watawala na majibu ya sirikali wanapata mf kukatika umeme wahusika wako benchi sasa kwanini watz waende road kwenye mavumbi wakaandamane kushindana na virungu , risasi na mabuti ya FFU wakati sirikali yao inajibu grievances japo sio zote.

Si kila kitu cha kuiga, watu wa fujo kamwe hawafanani na wastaarabu nao hutumia physical violence badala ya mental intelligence , watz tuige vyenye faida kama electric train inatosha, Uganda, Kenya na Sudan na madictator wao , wao wamezoea violence na kuuana, wao waandamane road wapigwe risasi huko inatosha sisi watz high IQ tuna protest kidigital kwa cm tu huku tuko lunyasi Yanga day tunakula bata !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…